Aisee kweli kizazi cha nyoka kinakuja hii hatariRaisi anakataa kwa kufunika kombe mwanaharamu apite kumbuka kuwa mahakama ipo juu ya raisi
Wakati serikali yako imeridhia kimya kimya miaka mingi?Kenya kukubali haki za mashoga ni jambo la aibu sana kwa vizazi vijavyo, labda wanaharakati wa mashoga ni wale wanaume ambao hawazai au hawatazaa, kwasababu kitendo cha kuona mtoto uliyemzaa anakuwa shoga ni kitendo cha aibu sana, inafikia mahali nchi hiyo mashoga wanafungua forum yao inayoitwa pamoko lgbtq hii ni hatari sana, wazazi na walezi tujitahidi kuwa makini na malezi ya watoto wetu
Kaka umakini hawezi kusaidia. Ni Mungu tuhatari sana, wazazi na walezi tujitahidi kuwa makini na malezi ya watoto wetu
🤔🤔🤔🤔Tuma huo waraka hapaWatanzania tunabwabwaja lakini serikali iko kimya sababu ilishaini kitambo sana.
Wakaka upo wadau wataurusha huku.
Nikiona
cocastic ameurusha mara 2
Siwezi kusaidiwa waru hao kujigamba mkuu.🤔🤔🤔🤔Tuma huo waraka hapa
Sasa mbona kwenye mikataba wamesaini?Hata kama upo serikalini utaanzaje kwenda hewani kuzungumzia ufiraji?
Nafikiri tungeacha hizi nyuzi zinaeneza zaidi...watu wataona kawaidaKo kufirana nje nje duh!
Kenya kuna uhuru wa mahakama sio kama TZ. Mahakama kuu ilitoa uamuzi kuhusu haki za mashoga ila hilo halimaanishi kwamba Kenya imekubali. Tayari rais amesema licha ya kuheshimu mahakama, yeye binafsi hakubaliani.Kenya kukubali haki za mashoga ni jambo la aibu sana kwa vizazi vijavyo, labda wanaharakati wa mashoga ni wale wanaume ambao hawazai au hawatazaa, kwasababu kitendo cha kuona mtoto uliyemzaa anakuwa shoga ni kitendo cha aibu sana, inafikia mahali nchi hiyo mashoga wanafungua forum yao inayoitwa Pamoko LGBTQ hii ni hatari sana, wazazi na walezi tujitahidi kuwa makini na malezi ya watoto wetu