Kenya kunani? Matukio ya ajabu kila kukicha

Kenya kunani? Matukio ya ajabu kila kukicha

Polisi nchini Kenya wamemkamata Hellen Wanjiru Weri (62) ambaye anadaiwa kuongoza dhehebu tata nchini humo ambapo anadaiwa kuwashikilia watu 32 kwenye nyumba yake huku wakiwa dhaifu kiafya kutokana na kufunga kula chakula kwa zaidi ya wiki moja

Polisi wanasema watu hao ambao walikuwa katika nyumba iliyopo katika kijiji cha Kamwene 'B' Kihingo, katika kaunti ndogo ya Njoro , wanasemekana kuwa walikuwa dhaifu baada ya kufunga chakula kwa karibu wiki moja

Mwanamke huyo amekamatwa baada ya mwanamke mmoja kudai kuwa binti yake aliacha kazi na kwenda kwa mwanamke huyo kwa ajili ya maombi na kufunga na hakurudi tena nyumbani.
Haya mambo unayakuta upande wa pili tu hlf wanajisifu kua wana Elimu

Hhhhhhh
JamiiForums-1778204370.jpg
 
Huyu jamàa kanisa lake lipo tabata nahisi alifungiwa sababu alikua anahubiri vitu vya ajabu nje ya biblia, unamwambia mtu alete nywele alete mavuzi uyaombee ?
Dah imeniuma sana kufungiwa, hao ndio viongozi wa dini tunaowahitaji
 
Yaaani ningekuwa na mamlaka hao wajinga wangekoma leo na njaa zao .Ningekata fimbo za kutosha za mti wa mpera au mkwaju.Ningewachapa matako yao kwelikweli ndio nawapa msosi na wakimaliza kula nawatandika washeri zao mpaka walie.
 
Mchungaji mwingine wa huko Kisumu Kenya amewaaminisha waumini wake Kuwa Ushuzi wake unaponya matatizo yote yaliyo ndani ya mwili wa mwanadamu, kwahiyo anawajambia kama hivi halafu wananusa ili wapati uponyaji.[emoji134][emoji134][emoji1787]
markup_1000212144.jpg
 
Hah! Mkuu, WaTz sio maduanzi kivile. 😀
Vichaa wengi wewe umeenda kanisani na Pesa ya sadaka na Nauli ya kurudi nyumbani, unafika muda wa kufunga ibada jamàa anawapiga PIN akawaambia NAULI zenu ziacheni hapa mjimalize alafu mtembee kwa mguu, mijitu ilivyokua mivichaa eti unatoa kweli nauli zote alafu inatembea kwa mguu hadi nyumbani km sio ukichaa ni nini?
 
Mwamposa coming soon watu walibebeshwa udongo na wakabeba akawaambia watoe hadi senti yao ya mwisho wajimalize sadaka ya kujimaliza hadi kile Cha mwisho ulichonacho wanakubari wanatoa wanatembea kwa mguu Kawe kuelekea Mbagala akiwaambia wasile wafunge mwezi mzima unafikiri wale vichaa watagoma ?
Sadaka kausha damu zinafilisi waumini
 
Mwamposa coming soon watu walibebeshwa udongo na wakabeba akawaambia watoe hadi senti yao ya mwisho wajimalize sadaka ya kujimaliza hadi kile Cha mwisho ulichonacho wanakubari wanatoa wanatembea kwa mguu Kawe kuelekea Mbagala akiwaambia wasile wafunge mwezi mzima unafikiri wale vichaa watagoma ?
Watafanya aisee
 
Back
Top Bottom