Kenya kunani? Matukio ya ajabu kila kukicha

Kenya kunani? Matukio ya ajabu kila kukicha

Sadaka kausha damu zinafilisi waumini
Ndio hivyo mpaka wengine wakaanza kushitaki Serikalini kua kuna vitu wanapigwa na hawa wachingiaji wa mchongo mtu anatoa gari kusaidia kanisa mchungaji anajimilikisha analifanya la kwake,
 
Yaaani ningekuwa na mamlaka hao wajinga wangekoma leo na njaa zao .Ningekata fimbo za kutosha za mti wa mpera au mkwaju.Ningewachapa matako yao kwelikweli ndio nawapa msosi na wakimaliza kula nawatandika washeri zao mpaka walie.
Hhahahaaaa...Unawatandika washeri zao mpaka walie na Wasipolia unaendelea kutandika tuuu.
 
Watafanya aisee
Ni lazima wale vichaa huwaambii kitu kuhusu Mwamposa hata ukiwaambia yanaingia kushoto yanatokea kulia hawakuelewi, kesho wanawasha redio wanasali nae Sala ya baba yetu kawakamata vichaa wengi
 
Vichaa wengi wewe umeenda kanisani na Pesa ya sadaka na Nauli ya kurudi nyumbani, unafika muda wa kufunga ibada jamàa anawapiga PIN akawaambia NAULI zenu ziacheni hapa mjimalize alafu mtembee kwa mguu, mijitu ilivyokua mivichaa eti unatoa kweli nauli zote alafu inatembea kwa mguu hadi nyumbani km sio ukichaa ni nini?
Duh! Mkuu, Hapo nimekubali. Kumbe ukichaa sio lazima mtu aokote makopo barabarani.
 
Duh! Mkuu, Hapo nimekubali. Kumbe ukichaa sio lazima mtu aokote makopo barabarani.
We unafikiri wale wanaookota makopo tu ndio vichaa wengine sio vichaa bali ni ugumu wa maisha, mara 100 anaeokota makopo kwenda kuuza apate pesa ya kula kuliko yule anaeenda kugawa pesa kisha anatembea kwa mguu Kawe to Mbagara
 
Hhahahaaaa...Unawatandika washeri zao mpaka walie na Wasipolia unaendelea kutandika tuuu.
Haaaa mpaka ulie ndio unaachiwa washeri zingewaka moto leo mbona.Uwe mtoto,mbabu,mmama ni mikwaju tuu.
 
Ndio hivyo mpaka wengine wakaanza kushitaki Serikalini kua kuna vitu wanapigwa na hawa wachingiaji wa mchongo mtu anatoa gari kusaidia kanisa mchungaji anajimilikisha analifanya la kwake,
Hapo baadae tutapata tabu sana kuhubiri injili maana raia wanatapeliwa bila huruma sasa utakuwa ukiwaambia habari za kumrudia Mungu wanajua ni walewale wanakutoa baru
 
Hamna mwenye nafuu... Waumini wote wa hizi dini za kuletwa hawana tofauti na mikondoo inayopelekwapelekwa kama hivyo
 
Ni lazima wale vichaa huwaambii kitu kuhusu Mwamposa hata ukiwaambia yanaingia kushoto yanatokea kulia hawakuelewi, kesho wanawasha redio wanasali nae Sala ya baba yetu kawakamata vichaa wengi
Hivi Mungu ni mhitaji inabidi tumpe pesa?
 
Hapo baadae tutapata tabu sana kuhubiri injili maana raia wanatapeliwa bila huruma sasa utakuwa ukiwaambia habari za kumrudia Mungu wanajua ni walewale wanakutoa baru
Ndio hivyo maana watu wanatajirisha watu kwa kutapeliwa bila kuelewa kua wanatapeliwa, Paul Makwenzi wa Kenya kaona awapige Pesa na awaue kabisa
 
Hapana MUNGU haitaji Pesa yako Ila yule anaepiga promotion ya kuhusu MUNGU ndio anataka umpe Pesa yeye,
Hivi kwa nini mtu mweusi ni mjinga hivi? Yaani anaamini Mungu anahitaji pesa yake?
 
Hivi kwa nini mtu mweusi ni mjinga hivi? Yaani anaamini Mungu anahitaji pesa yake?
Sababu ni ukichaa uliochanganyika na umasikini, mwinjiristi akitoka nje hutosikia kwenye mkutano anakusanya sadaka never, atahubiri yeye ndio atatoa msaada kwa watu Ila Black mamba lazima umpe sadaka na sio sadaka tu lazima ujimalize niseme ni tamaa ya fedha na mali iliyopitiliza
 
Watu wanatoa wenzio kafara kisa utajiri na umaarufu hatari sana. Hata hapa Tanzania serikali ikipiga misako kuna watu watakutwa na misukule ya kutosha. Hawa occultic pastors, wasipodhibitiwa watakokota nafsi nyingi sana kwa lucifer.
 
Hivi kwa nini mtu mweusi ni mjinga hivi? Yaani anaamini Mungu anahitaji pesa yake?
Watu wamelogwa akili mzee, yani nafsi tayari ishauzwa siku mingi so hubakia kama vivuli hapa duniani wakisubiri physical death.
 
Mchungaji mwingine wa huko Kisumu Kenya amewaaminisha waumini wake Kuwa Ushuzi wake unaponya matatizo yote yaliyo ndani ya mwili wa mwanadamu, kwahiyo anawajambia kama hivi halafu wananusa ili wapati uponyaji.[emoji134][emoji134][emoji1787]View attachment 2605418
Dah m wacha niendelee kuwahurumia tu mna wana masikio lkn hawasikii
Wana macho lakini hawaoni
Wana Akili lkn hawawezi kuchanganua
 
Mchungaji mwingine wa huko Kisumu Kenya amewaaminisha waumini wake Kuwa Ushuzi wake unaponya matatizo yote yaliyo ndani ya mwili wa mwanadamu, kwahiyo anawajambia kama hivi halafu wananusa ili wapati uponyaji.[emoji134][emoji134][emoji1787]View attachment 2605418
Jamani hivi hizi mambo zinafanyika kweli au?
 
Mchungaji mwingine wa huko Kisumu Kenya amewaaminisha waumini wake Kuwa Ushuzi wake unaponya matatizo yote yaliyo ndani ya mwili wa mwanadamu, kwahiyo anawajambia kama hivi halafu wananusa ili wapati uponyaji.[emoji134][emoji134][emoji1787]View attachment 2605418
Hii sio Kisumu Mkuu Ni South Africa , halafu ya zamani zamani Sana.
 
Back
Top Bottom