econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Na Hilo ndio lengo la Shetani, msiaminike wote wa uongo na wa ukweli.Hapo baadae tutapata tabu sana kuhubiri injili maana raia wanatapeliwa bila huruma sasa utakuwa ukiwaambia habari za kumrudia Mungu wanajua ni walewale wanakutoa baru