Ndio hivyo mpaka wengine wakaanza kushitaki Serikalini kua kuna vitu wanapigwa na hawa wachingiaji wa mchongo mtu anatoa gari kusaidia kanisa mchungaji anajimilikisha analifanya la kwake,Sadaka kausha damu zinafilisi waumini
Hhahahaaaa...Unawatandika washeri zao mpaka walie na Wasipolia unaendelea kutandika tuuu.Yaaani ningekuwa na mamlaka hao wajinga wangekoma leo na njaa zao .Ningekata fimbo za kutosha za mti wa mpera au mkwaju.Ningewachapa matako yao kwelikweli ndio nawapa msosi na wakimaliza kula nawatandika washeri zao mpaka walie.
Ni lazima wale vichaa huwaambii kitu kuhusu Mwamposa hata ukiwaambia yanaingia kushoto yanatokea kulia hawakuelewi, kesho wanawasha redio wanasali nae Sala ya baba yetu kawakamata vichaa wengiWatafanya aisee
Duh! Mkuu, Hapo nimekubali. Kumbe ukichaa sio lazima mtu aokote makopo barabarani.Vichaa wengi wewe umeenda kanisani na Pesa ya sadaka na Nauli ya kurudi nyumbani, unafika muda wa kufunga ibada jamàa anawapiga PIN akawaambia NAULI zenu ziacheni hapa mjimalize alafu mtembee kwa mguu, mijitu ilivyokua mivichaa eti unatoa kweli nauli zote alafu inatembea kwa mguu hadi nyumbani km sio ukichaa ni nini?
We unafikiri wale wanaookota makopo tu ndio vichaa wengine sio vichaa bali ni ugumu wa maisha, mara 100 anaeokota makopo kwenda kuuza apate pesa ya kula kuliko yule anaeenda kugawa pesa kisha anatembea kwa mguu Kawe to MbagaraDuh! Mkuu, Hapo nimekubali. Kumbe ukichaa sio lazima mtu aokote makopo barabarani.
Haaaa mpaka ulie ndio unaachiwa washeri zingewaka moto leo mbona.Uwe mtoto,mbabu,mmama ni mikwaju tuu.Hhahahaaaa...Unawatandika washeri zao mpaka walie na Wasipolia unaendelea kutandika tuuu.
Hapo baadae tutapata tabu sana kuhubiri injili maana raia wanatapeliwa bila huruma sasa utakuwa ukiwaambia habari za kumrudia Mungu wanajua ni walewale wanakutoa baruNdio hivyo mpaka wengine wakaanza kushitaki Serikalini kua kuna vitu wanapigwa na hawa wachingiaji wa mchongo mtu anatoa gari kusaidia kanisa mchungaji anajimilikisha analifanya la kwake,
Hivi Mungu ni mhitaji inabidi tumpe pesa?Ni lazima wale vichaa huwaambii kitu kuhusu Mwamposa hata ukiwaambia yanaingia kushoto yanatokea kulia hawakuelewi, kesho wanawasha redio wanasali nae Sala ya baba yetu kawakamata vichaa wengi
Ndio hivyo maana watu wanatajirisha watu kwa kutapeliwa bila kuelewa kua wanatapeliwa, Paul Makwenzi wa Kenya kaona awapige Pesa na awaue kabisaHapo baadae tutapata tabu sana kuhubiri injili maana raia wanatapeliwa bila huruma sasa utakuwa ukiwaambia habari za kumrudia Mungu wanajua ni walewale wanakutoa baru
Hapana MUNGU haitaji Pesa yako Ila yule anaepiga promotion ya kuhusu MUNGU ndio anataka umpe Pesa yeye,Hivi Mungu ni mhitaji inabidi tumpe pesa?
Hivi kwa nini mtu mweusi ni mjinga hivi? Yaani anaamini Mungu anahitaji pesa yake?Hapana MUNGU haitaji Pesa yako Ila yule anaepiga promotion ya kuhusu MUNGU ndio anataka umpe Pesa yeye,
Sababu ni ukichaa uliochanganyika na umasikini, mwinjiristi akitoka nje hutosikia kwenye mkutano anakusanya sadaka never, atahubiri yeye ndio atatoa msaada kwa watu Ila Black mamba lazima umpe sadaka na sio sadaka tu lazima ujimalize niseme ni tamaa ya fedha na mali iliyopitilizaHivi kwa nini mtu mweusi ni mjinga hivi? Yaani anaamini Mungu anahitaji pesa yake?
Watu wamelogwa akili mzee, yani nafsi tayari ishauzwa siku mingi so hubakia kama vivuli hapa duniani wakisubiri physical death.Hivi kwa nini mtu mweusi ni mjinga hivi? Yaani anaamini Mungu anahitaji pesa yake?
Dah m wacha niendelee kuwahurumia tu mna wana masikio lkn hawasikiiMchungaji mwingine wa huko Kisumu Kenya amewaaminisha waumini wake Kuwa Ushuzi wake unaponya matatizo yote yaliyo ndani ya mwili wa mwanadamu, kwahiyo anawajambia kama hivi halafu wananusa ili wapati uponyaji.[emoji134][emoji134][emoji1787]View attachment 2605418
mbona ashafunguliwa muda mrefuKuna yule alikua anasema watu waende na mavuzi yakaombewe, Serikali ikampiga Rolex wangemuachia yule ungesikia kaangamiza wajawazito
Jamani hivi hizi mambo zinafanyika kweli au?Mchungaji mwingine wa huko Kisumu Kenya amewaaminisha waumini wake Kuwa Ushuzi wake unaponya matatizo yote yaliyo ndani ya mwili wa mwanadamu, kwahiyo anawajambia kama hivi halafu wananusa ili wapati uponyaji.[emoji134][emoji134][emoji1787]View attachment 2605418
Hii sio Kisumu Mkuu Ni South Africa , halafu ya zamani zamani Sana.Mchungaji mwingine wa huko Kisumu Kenya amewaaminisha waumini wake Kuwa Ushuzi wake unaponya matatizo yote yaliyo ndani ya mwili wa mwanadamu, kwahiyo anawajambia kama hivi halafu wananusa ili wapati uponyaji.[emoji134][emoji134][emoji1787]View attachment 2605418