econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 20,189 Reaction score 29,663 May 1, 2023 #61 jay-millions said: Hapo baadae tutapata tabu sana kuhubiri injili maana raia wanatapeliwa bila huruma sasa utakuwa ukiwaambia habari za kumrudia Mungu wanajua ni walewale wanakutoa baru Click to expand... Na Hilo ndio lengo la Shetani, msiaminike wote wa uongo na wa ukweli.
jay-millions said: Hapo baadae tutapata tabu sana kuhubiri injili maana raia wanatapeliwa bila huruma sasa utakuwa ukiwaambia habari za kumrudia Mungu wanajua ni walewale wanakutoa baru Click to expand... Na Hilo ndio lengo la Shetani, msiaminike wote wa uongo na wa ukweli.
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 20,189 Reaction score 29,663 May 1, 2023 #62 jay-millions said: Hivi Mungu ni mhitaji inabidi tumpe pesa? Click to expand... Yani hapo ndipo shida inapoanzia . Yani wanatuhubiria ya kwamba Mungu hawezi kukubariki mpaka umpe pesa.
jay-millions said: Hivi Mungu ni mhitaji inabidi tumpe pesa? Click to expand... Yani hapo ndipo shida inapoanzia . Yani wanatuhubiria ya kwamba Mungu hawezi kukubariki mpaka umpe pesa.