Kenya leads East Africa peers in access to electricity

installed capacity 1200 mata hauna aibu
Tanzania uwezo wa kizalisha umeme ni 1560MW, mwezi uliopita tuliongeza 80MW, kama utakumbuka Magufuli alienda kuzindua mradi wa Kinyerezi II, kabla ya hapo tuliku tunazalisha 1480MW, lakini hadi leo hii demand yetu ni 1320 MW tu, yaani hata tusingeongeza huu umeme bado hatukuwa na upungufu wa umeme, ukosefu wa umeme katika nchi zetu hizi, kwa asilimia kubwa ni tatizo la usambazaji umeme, yaani connectivity.

Hata ninyi Kenya mnazalisha umeme mwingi kuliko mahitaji yenu kwa sasa, ila ni asilimia ndogo sana ya sehemu zilizounganishwa na umeme, ndio sababu hadi sasa mnaitafuta 60% coverage bado inawasumbua
 
story hizo USAID imesema 1200..figures za serikali haikuagi real
 
after seeing the publisher of this report is an NGO from Kenya doing research from internet I busted with laugh
 
Maendeleo haitambui kifua, nguvu kijijini akili mjini. Ndio kwa maana hua munaisoma number.
Wewe unaongea nini!! Kwa hiyo maendeleo yana tambua kuchekacheka kama anavyo fanya Uhuru! Wananchi wana lalamika raisi na yeye analalamika kuhusu ufisadi! Halafu mwishoni ana waambia "wajameni si mnipe tano zingine" hahaa.. ovyo sana
 
2018 usaid portal..danganyeni nyanya zenuView attachment 770165
Unaxhokitafuta ni kutaka kujiridhisha ili leo upate usingizi, kwasababu ile taarifa niliyokuwekea inasema vizuri kwamba ndani ya kipindi cha miaka miwili tu, Tanzania imeweza kuongeza umeme by 30%, hii taarifa ya USAID ilikusanywa 2015 na kutolewa 2016, sasa unakataa nini wakati haya mabadiliko yametokea kipindi cha Magufuli, yaani 2016 and 2017?
 
kama production ni 1560 acess itakuaje 70% unless kama munanunua stima mingi than u produce. Ambapo hio impossible.
 
Thats as per march 2018 32%
 
Nakwambia hawa majuha wapo bado 2015 dec. Wamelala usingizi wa kuvuta blanketi. Ebu usiwamshe ili waendelee kulala na kujipiga punyeto na riporti za NGO
 
Production hawajafikisha hata 2000MW lakini access wamefikisha over 70%. Hahaha kwani TZ stima hua mnatumia kucharge simu tu.
 
Nakwambia hawa majuha wapo bado 2015 dec. Wamelala usingizi wa kuvuta blanketi. Ebu usiwamshe ili waendelee kulala na kujipiga punyeto na riporti za NGO
Ngoja niwaache wasubiri 2020 tukikamilisha universal connectivity wakati wakiwa bado 70%. Ila ninawaelewa sometimes, kasi anayokwenda Magufuli ni nje ya kabisa ya watu wa kawaida kuelewa. Take my word, wakati SGR inafika Kigali, ndiyo ya Kenya itakuwa inafika Kisumu. Pamoja na kwamba tumeanza kujenga miaka 3 nyuma ya Kenya, huyu jamaa ni hatari aisee.
 
USAID figures wanazitoa wapi?, hukusanya za serikali na kuzifanyia verifications, wasipokubaliana nazo huwa hawatoi figure zozote kuhusu hiyo nchi.
Wewe punguza ushamba unadhani USAID ni blog.
 
Hiyo ndio style ya magu..yeye hana mdomo kubwa, anafanya mambo yake bila mbwembwe na sifa za kijinga. SGR amenyamazia tuu lakini kazi inaendelea tena kwa mwendo hatari..Huku kenya Jubilee ikitengeneza tunnel moja wanaweka picha kila mahali ni kama wamemaliza mradi 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…