joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Tanzania uwezo wa kizalisha umeme ni 1560MW, mwezi uliopita tuliongeza 80MW, kama utakumbuka Magufuli alienda kuzindua mradi wa Kinyerezi II, kabla ya hapo tuliku tunazalisha 1480MW, lakini hadi leo hii demand yetu ni 1320 MW tu, yaani hata tusingeongeza huu umeme bado hatukuwa na upungufu wa umeme, ukosefu wa umeme katika nchi zetu hizi, kwa asilimia kubwa ni tatizo la usambazaji umeme, yaani connectivity.installed capacity 1200 mata hauna aibu
Hata ninyi Kenya mnazalisha umeme mwingi kuliko mahitaji yenu kwa sasa, ila ni asilimia ndogo sana ya sehemu zilizounganishwa na umeme, ndio sababu hadi sasa mnaitafuta 60% coverage bado inawasumbua