Kenya: Maajabu! Mwanamke ajifungua mtoto wa Kihindi, Amlaumu mume kwa kutazama filamu za Kihindi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Haya ni maajabu! πŸ˜‚

Kutana na wanandoa hawa kutoka Nyeri nchini Kenya, waliojifungua Mtoto wa Kihindi.

Mwanamke anamlaumu mume kwa kupenda kutazama filamu za Kihindi, akidai ndio imepelekea kuzaliwa mtoto huyo. Mwanaume amekubali na kuahidi kuwapenda na kuwajali mama na mtoto.

Inasemekana mwanamke huyu anafanya kazi katika mgahawa wa Kihindi kama mhudumu.
 
Ke Viumbe pekee vilivyowahi kuongea na Shetani na bado havijui vinataka nini haswa kwa Me hadi visiridhike kwa mipwipwi wala chapaa.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Hii ya mwaka! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜­πŸ˜­
 
Dah Nimecheka Saaana 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…