Kenya: Maajabu! Mwanamke ajifungua mtoto wa Kihindi, Amlaumu mume kwa kutazama filamu za Kihindi

Kenya: Maajabu! Mwanamke ajifungua mtoto wa Kihindi, Amlaumu mume kwa kutazama filamu za Kihindi

Haya ni maajabu! 😂

Kutana na wanandoa hawa kutoka Nyeri nchini Kenya, waliojifungua Mtoto wa Kihindi.
View attachment 3136383
Mwanamke anamlaumu mume kwa kupenda kutazama filamu za Kihindi, akidai ndio imepelekea kuzaliwa mtoto huyo. Mwanaume amekubali na kuahidi kuwapenda na kuwajali mama na mtoto.
View attachment 3136382
Inasemekana mwanamke huyu anafanya kazi katika mgahawa wa Kihindi kama mhudumu.
View attachment 3136385
Kenya wana Katiba bora sana kuliko ya kwetu ambayo inasababisha kila kitu kuwezekana.
 
Mwanaume kashapigwa na kitu kizito,movie na mtoto wapi na wapi,duh mwamba kagongewa na amri shipuli
 
🎶Bibi yake mufupi, bwana yake mufupi
Lakini wamezaa kijana murefu ametooka waaapi,
Aya kapatikana🎶....nimeikumbuka iyo ngoma aliimba mkenya
 
Haya ni maajabu! 😂

Kutana na wanandoa hawa kutoka Nyeri nchini Kenya, waliojifungua Mtoto wa Kihindi.
View attachment 3136383
Mwanamke anamlaumu mume kwa kupenda kutazama filamu za Kihindi, akidai ndio imepelekea kuzaliwa mtoto huyo. Mwanaume amekubali na kuahidi kuwapenda na kuwajali mama na mtoto.
View attachment 3136382
Inasemekana mwanamke huyu anafanya kazi katika mgahawa wa Kihindi kama mhudumu.
View attachment 3136385
Mbona mama mwenyewe ni mhindi?
 
Mhindi kafanya yake, bwana kaamini alichoambiwa na mke? Matokeo ya kufanya kazi kwa wahindi.
 
Kila kiumbe kinachokuja duniani kina hisani yake 🙏
 
Haya ni maajabu! 😂

Kutana na wanandoa hawa kutoka Nyeri nchini Kenya, waliojifungua Mtoto wa Kihindi.
View attachment 3136383
Mwanamke anamlaumu mume kwa kupenda kutazama filamu za Kihindi, akidai ndio imepelekea kuzaliwa mtoto huyo. Mwanaume amekubali na kuahidi kuwapenda na kuwajali mama na mtoto.
View attachment 3136382
Inasemekana mwanamke huyu anafanya kazi katika mgahawa wa Kihindi kama mhudumu.
View attachment 3136385
Mhindi muhusika amemlipa kitita jamaa amfichie siri asije akatengwa na jumuia ya wahindi.
 
Kuna mmoja nilikuwa namuona STAMICO pale njia panda kwendaa mgodi wa makaa ya mawe kaama unaenda Kyela.

Pia barabara hiyo highway ya kwenda Tunduma, imeacha watoto wengi wenye asili ya kichina.
 
Ili shatokea tz pia, kuzaa vichina!!
Mimi shuhuda. Msela na demu wake walikuwa wanapiga katika kiwanda cha wachina kile kinatengeneza vile vijuisi. Kumbe mchina anajipigia. Demu kawa mjamzito jamaa akamvuta ndani. Miezi tisa mtoto kazaliwa.
Marafiki tulukuwa tunamwona mtoto mchina ila hakuna anayetia neno. Sijui msela alikuwa haoni au naye alikuwa anajifanya haoni.
Mama yale msela ndiye alikuja lianzisha na ndoa ikaishia hapo hapo.
 
Inawezekana jamaa hana uwezo wa kuzalisha .........so bidada akajiongeza kwa mpango wa kando.........unamkataa vipi na kumuweka tumboni kwa manzi huwezi..........hapo ni kuvumilia tu..........
 
Back
Top Bottom