Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kumbe anafanya kazi kwa Somjo chori chori namasteheKutana na wanandoa hawa kutoka Nyeri nchini Kenya, waliojifungua Mtoto wa Kihindi.
View attachment 3136383
Mwanamke anamlaumu mume kwa kupenda kutazama filamu za Kihindi, akidai ndio imepelekea kuzaliwa mtoto huyo. Mwanaume amekubali na kuahidi kuwapenda na kuwajali mama na mtoto.
View attachment 3136382
Inasemekana mwanamke huyu anafanya kazi katika mgahawa wa Kihindi kama mhudumu.
View attachment 3136385