Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
- Thread starter
-
- #21
π labda na yeye alikuwa anapenda Wahindi ila kuwapata labda ilikuwa kimbembe so ameona atulie tu baada ya kumpata mtotoMwanaume ni mjinga kabisa
ππAhahahahh π€£ π€£ π€£
Krishna kama Krishna
ππVichina vinyakyusa....unaangaika kukisalimia... unashangaa kinasalimia "ughonile"π³π
Labda Dr utuelezee hili kitaalam limekaaje? πDah Nimecheka Saaana π€£π€£π€£π€£
Mama mwenyewe mhindi chotara, pua ya mtoto baba mtupu.Kutana na wanandoa hawa kutoka Nyeri nchini Kenya, waliojifungua Mtoto wa Kihindi.
View attachment 3136383
Mwanamke anamlaumu mume kwa kupenda kutazama filamu za Kihindi, akidai ndio imepelekea kuzaliwa mtoto huyo. Mwanaume amekubali na kuahidi kuwapenda na kuwajali mama na mtoto.
View attachment 3136382
Inasemekana mwanamke huyu anafanya kazi katika mgahawa wa Kihindi kama mhudumu.
View attachment 3136385
Kwahiyo mtoto ni copy ya mama yake au sio πMama mwenyewe mhindi chotara, pia ya mtoto baba mtupu.
Kutana na wanandoa hawa kutoka Nyeri nchini Kenya, waliojifungua Mtoto wa Kihindi.
View attachment 3136383
Mwanamke anamlaumu mume kwa kupenda kutazama filamu za Kihindi, akidai ndio imepelekea kuzaliwa mtoto huyo. Mwanaume amekubali na kuahidi kuwapenda na kuwajali mama na mtoto.
View attachment 3136382
Inasemekana mwanamke huyu anafanya kazi katika mgahawa wa Kihindi kama mhudumu.
View attachment 3136385
Mwanaume akapimwe afya ya akiliπππKutana na wanandoa hawa kutoka Nyeri nchini Kenya, waliojifungua Mtoto wa Kihindi.
View attachment 3136383
Mwanamke anamlaumu mume kwa kupenda kutazama filamu za Kihindi, akidai ndio imepelekea kuzaliwa mtoto huyo. Mwanaume amekubali na kuahidi kuwapenda na kuwajali mama na mtoto.
View attachment 3136382
Inasemekana mwanamke huyu anafanya kazi katika mgahawa wa Kihindi kama mhudumu.
View attachment 3136385
ππ sio macho maana huwenda haoni vizuri ndio maana ameshindwa kutofautishaCc
Mwanaume akapimwe afya ya akiliπππ
Hamna utaalam hapo ni somjo alimuinamisha dukaniπ akapizia ndaniLabda Dr utuelezee hili kitaalam limekaaje? π