Kumbe anafanya kazi kwa Somjo chori chori namasteheKutana na wanandoa hawa kutoka Nyeri nchini Kenya, waliojifungua Mtoto wa Kihindi.
View attachment 3136383
Mwanamke anamlaumu mume kwa kupenda kutazama filamu za Kihindi, akidai ndio imepelekea kuzaliwa mtoto huyo. Mwanaume amekubali na kuahidi kuwapenda na kuwajali mama na mtoto.
View attachment 3136382
Inasemekana mwanamke huyu anafanya kazi katika mgahawa wa Kihindi kama mhudumu.
View attachment 3136385
Mwamba kachapiwa ipo wazi mkuu🤣🤣
Lakin huenda ikawa kweli hata maria alimzaa yesu bila yusuph😂😂 sio macho maana huwenda haoni vizuri ndio maana ameshindwa kutofautisha
Halafu wakasingizia sababu waume zao wanafanya kazi na Wachina muda mrefu😅Ili shatokea tz pia, kuzaa vichina!!
😂 ale chuma hichoDedication: Mume Bwege - Bushoke
Chuma Cha moto..😂 ale chuma hicho
Ndo maana Nimebaki Nacheka tu 🤣🤣🤣Labda Dr utuelezee hili kitaalam limekaaje? 😂
Ni kijakazi kwa tumjane tumpashe hae rajesh patesh kumarKumbe anafanya kazi kwa Somjo chori chori namastehe
Kabisa kabisa.Kwahiyo mtoto ni copy ya mama yake au sio 😆
Kwahiyo hajapndezewa na huyo mtoto ndiyo maana analaumuHaya ni maajabu! 😂
Kutana na wanandoa hawa kutoka Nyeri nchini Kenya, waliojifungua Mtoto wa Kihindi.