Kenya: Maajabu! Mwanamke ajifungua mtoto wa Kihindi, Amlaumu mume kwa kutazama filamu za Kihindi

Huyo aliyevaa kofia mbona amekaa kiwiziwizi sana? Imekuwaje akaolewa.
 
Ndiyo maana sipendi muvi za kihindi
 
Bora nimecheka asubuhi hii πŸ˜‚
 
Hapo jamaa alichapiwa kilaini Sana na mwenyewe alivyo kauzu kaamua kulea bao la mwanaume mwingine

Wanaume tutafika mbinguni tukiwa tumechoka sana
 
Inasemekana mwanamke huyu anafanya kazi katika mgahawa wa Kihindi kama mhudumu.
Wabongo tuache uzandiki na uchonganishi! Hili la eti KE anafanya kazi katika mgahawa wa kihidi umeongeza wewe lakini wenyewe wanachojua kama ingekuwa ni laana, basi laana hiyo imesababishwa na ME kwa tabia ya kupenda kucheki movies za kihindi! Sasa tafakari, unading'ana na mkeo lakini akili zote zipo kwenye picha la kihindi, utaacha kumwaga uji la kihindi hapo?
 
Aaah jamani, mambo ya kuuana tena yanatoka wapiπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Kule zinga kwa mtoto Kuna jamaa alimchinjwa mke na mtoto.sababu mambo haya haya.kulea mtoto wa mtu inauma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…