KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Wastage of time and resources, RAO will loose again.....
 
Sikio la kufa mkuu. Ila uzuri hicho chama kilishakufa ndiyo maana mizimu ndiyo inashabikia wezi
 
Najiuliza hili swali sipati jibu. Kwa nini CDM wanamsupport Uhuru? Ukweli ni kuwa waKenya wamemchoka hadi aliwatisha kuwa watakoma akichaguliwa. Kwenye campaign akisema harambeee, wakawa wanaitikia NASAAAAA!!! Akawatolea uvivu. Sasa iweje ashinde!!1.
 
Sasa Chadema mnasimamia wapi????

Mnakataa maamuzi ya Mahakama????

Mahakama imesema uchaguzi haukufuata demokrasia na nyie mlisema Uhuru ni baba wa demokrasia na uchaguzi umefanywa kwa demokrasia...majibu tafadhali maana hatujui mnasimamia nini toka Dr. Slaa ameondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya iko mbele mno ! Nina hakika Raila atashindwa tena
 
Dooo!!!ndo maana hapa ni mwendo udiktetazim kuogopa mambo kama hayo mweh!!!
 
Mahakama ya Kenya inajiendesha yenyewe bila kuingiliwa na MAKANJANJA kama huku kwetu.
 
Chadema walikosea sana kumkumbatia lowasa amewapoteza kwenye platform za siasa
 
Kenyatta is a thief.

Common knwolwedge tells us that, "Once a thief, always a thief!"
 
Uchaguzi wa Kenya mbona watanzania mnaufatilia sana

blame no body
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…