mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,862
- 3,574
Wanafiki hawa, hawajawahi kuwa na msimamo.Si mlikuwa mnashabikia ushindi wa Kenyata?
......
warudie kuwaridhisha tu NASA awamu hii KENYATTA atamwacha Odinga kwa kura nyingi sana hata zaidi ya m2.5Sio Kenyatta, ni Lowasa alimfuata na kumshobokea kwa niaba ya UKAWA, sasa aibu juu ya nyumbu.
Demokrasia ina gharama zake mkuu