Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Njaa mbaya sanaKuwa Jydge Tanzania ni Usakala mtupu. Unakua na Judge kama Warioba anafanya kazi kiueledi kabisa halafu anashambuliwa na kupingwa, baadaye anaitwa meza kuu anaanza kupingana na kile al8chokua akikiamini. Eti Magufuli anatosha. Yaani all over sudden Magufuli anakua ni mtu bora kabisa kuliko Katiba.
Damn
Ishu ni kama kawaida, kutokuwa na msimamo! Mlimsapoti odinga, ghafla mkamtupa kisa kapiga picha na Magufuli!akili zako we jamaa hatar tupu kwa kuwa ni mpinzani basi wapinzani wanatakiwa kumuunga mkono hii mpya tanzania bana kwa hiyo magufuli kahuzunika natokeo ya uhuru yalivyofutwa kwa kuwa uhuru sio mpinzani.
Haha haha hahawamefuta! haya tutarudia tutaiba tena, watashtaki mahakama itatengua. tunarudia tunaiba tena, wakitengua tunarudia tunaiba tena hadi miaka yetu mitano iishe
Sio kigumu kiivyo. Katika kusaidiana na kuelimishana.....nenda kwenye GOOGLE TRANSLATE...weka English na Swahili, kopi maneno ya kiingereza ukaya-paste huko na itakutafsiria kwa kiswahili....Duh..majaji wanatumia kiingereza kigumu mimi sjaambulia kitu
mambosasa ameshakataa mambo ya kupokea maelekezo toka juu,
WE ACHA UPUUZI WAKO, NI MAJAJI WALIOTOA HUKUMU SIZONJE ANAINGIAJE HAPO TENA?
Hawakuzisemea computer.Ndio tujue wale wasimamizi na waangalizi wanaotoka nje nao wanafata mkumbo tu, walisema uchaguzi ulikua huru na haki.Shem on them.
Mwisho wa siku hata huyo ATAKAYESHINDWA kwenye UCHAGUZI WA MARUDIO na yeye ataenda tena MAHAKAMANI.Demokrasia na Haki ya kusikilizwa.
Uhuru hana mamlaka ya kuipa uhuru wa maamuzi Mahakama. Hata hapa kwetu Magufuli hana hayo mamlaka kwani angekuwa nayo Lisu angekuwa hapati ushindi Mahakamani au angekuwa aliishafungwa siku nyingi.Tunasimamia pale pale kwamba Kenyatta ameonyesha demokrasia ya hali ya juu.
1.Ameipa Mahakama haki yake ya kutoa maamuzi bila uoga tofauti na hapa kwetu Mahakama itoa order usivunje nyumba unaenda kubomoa halafu unasema haukujua.
2.Alisema atakubaliana na maamuzi ya Mahakama nayo ni kwa rais anayejua nini maana ya Demorasia kuliko wa kwetu wameshindwa bado wakaamrisha kufuata uchaguzi.
CCM jifunzeni toka Kenya.
Kosa kubwa lilikua ushabiki uliojitokeza wakati wa Katiba Mpya.
Kaimu Jaji Mkuu keshauza muhimili kwa mabingwa wa kuzalisha madeni.Mahakama za Tanzania haiwezi kufanya kitu kama hiki walichokifanya Kenya....
Kikatiba, matokeo na uchaguzi wa rais tanzania hauwezi pingwa au amriwa na mahakama!Mahakama za Tanzania haiwezi kufanya kitu kama hiki walichokifanya Kenya....
Umofia ni Nigeria kwetu ni nyeregete.Umofia kwenu wadau,
Nafikiria tu, iwapo wapinzani wangekuwa wamemuunga mkono Raila, yaani ushindi huu ungewapa sababu kubwa sana ya kushangilia.
Ila kwa sasa wanalia na wanahudhuni