Platformtz
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 266
- 405
Uchaguzi wa tanzania haupingwi mahakamani,katiba yetu ni mbovu na tume ya uchaguzi inateuliwa na rais unategemea nini hapo....tume huru kwa wazee wa visasi ni ndotoItakumbukwa Tanzania kwa upande wa Zanzibar tulifanya uchaguzi wa marudio wa rais baada ya ule uchaguzi mkuu wa 2015 kufutwa
Chakushangaza dunia Maalim Seif alisusia, na CCM ikafanya uchaguzi na kushinda kwa kishindo
Maalim hapa unatakiwa ujifunze, sio kususa tu
kama kweli umeshinda utashinda tena na tena uchaguzi utakaporudiwa
Lakini tofauti hapa kwetu ni katiba kutokuruhusu matokeo ya uchaguzi wa rais kupingwa mahakamani, hivyo Maalim ulitakiwa urudie uchaguzi tu kulingana na taratibu zetu
Ni nani aliyeidhinisha uchaguzi wa marudio wa Zanzibar , kwa mamlaka gani na kwa sababu zipi ?Itakumbukwa Tanzania kwa upande wa Zanzibar tulifanya uchaguzi wa marudio wa rais baada ya ule uchaguzi mkuu wa 2015 kufutwa
Chakushangaza dunia Maalim Seif alisusia, na CCM ikafanya uchaguzi na kushinda kwa kishindo
Maalim hapa unatakiwa ujifunze, sio kususa tu
kama kweli umeshinda utashinda tena na tena uchaguzi utakaporudiwa
Lakini tofauti hapa kwetu ni katiba kutokuruhusu matokeo ya uchaguzi wa rais kupingwa mahakamani, hivyo Maalim ulitakiwa urudie uchaguzi tu kulingana na taratibu zetu
Ishu ni kama kawaida, kutokuwa na msimamo! Mlimsapoti odinga, ghafla mkamtupa kisa kapiga picha na Magufuli!
Ndio tujue wale wasimamizi na waangalizi wanaotoka nje nao wanafata mkumbo tu, walisema uchaguzi ulikua huru na haki.Shem on them.
Huo unajisi ulikuwepo je hao walioinajisi mahakama walichukuliwa hatua gani????Kama ile kule Arusha ambayo ili bidi majaji wa Mahakama ya Rufaa waseme KUNA UNAJISI WA SHERIA MAHAKAMANI
Wanajigharamia wenyewe sio serikali.Huu ndo UKUDA wa nchi za AFRICA, Vijana hawana AJIRA, Kina mama wanateseka, PESA ZOTE ZINAPELEKWA Kwenye UCHAGUZI Masikini WANATESEKA. Hata huo UCHAGUZI wa MARUDIO hautakuwa PERFECT
Kadanganyeni misukule wenzenu wasiojitambua. Matokeo ya Magufuli yaliyotangazwa na NEC yako tofauti na matokeo halisi ya karibu kila kituo ila kwa vile sheria zenu za Kikaburu eti matokeo hayahojiwi kokote!!Uko sahihi!
Ule uchafu alileta hapa Tz baadhi yao walitoka Kenya kama una kumbukumbu.
Hili jukwaa linaruhusu wajinga na waelevu kutoa maoni ni tatizo kubwa! Maalim anapaswa kushiriki marudio kwa AMRI Ya Jecha Au Mahakama? hovyo kabisaItakumbukwa Tanzania kwa upande wa Zanzibar tulifanya uchaguzi wa marudio wa rais baada ya ule uchaguzi mkuu wa 2015 kufutwa
Chakushangaza dunia Maalim Seif alisusia, na CCM ikafanya uchaguzi na kushinda kwa kishindo
Maalim hapa unatakiwa ujifunze, sio kususa tu
kama kweli umeshinda utashinda tena na tena uchaguzi utakaporudiwa
Lakini tofauti hapa kwetu ni katiba kutokuruhusu matokeo ya uchaguzi wa rais kupingwa mahakamani, hivyo Maalim ulitakiwa urudie uchaguzi tu kulingana na taratibu zetu
Ok.sio msimamo kila mmoja ana maono yake kushinda au kutokushinda kwa uhuru na odinga hakuna mantiki yoyote kuhusiana na chadema katika siasa zao labda kama tume ya kenya na tz zinashirikiana utaongea hayo
5. Hukumu itapatikana ndani ya siku 21 kuanzia leo