KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Kwa kweli Uhuru wa mahakama,na demokrasia ya Kenya ya Leo ni mfano wa kuigwa.

Pongezi za pekee ziwaendee wakenya kwa utulivu wao, Uhuru kenyata kwa kukubali haki itendeke ,Raila Odinga kwa kufuata taratibu za kisheria na majaji kwa kutenda haki.

Nawaombea uchaguzi mwema atakaeshinda apewe ushirikiano nchi isongembele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
all these are the results of a good constitution that the republic of Kenya and Kenyans have. tanzania also have to learn and be vigilant with our constitution, we have to exercise democracy......nimependa sana mahakama za kenya aiseee
 
Mahakama imeUJECHA uchaguzi wa Rais Nchini Kenya.Kwa Tanzania Mahakama inadharauriwa na mihimili mingine.Maamuzi yake yanafanywa kwa maelekezo kutoka Juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakumbukwa Tanzania kwa upande wa Zanzibar tulifanya uchaguzi wa marudio wa rais baada ya ule uchaguzi mkuu wa 2015 kufutwa

Chakushangaza dunia Maalim Seif alisusia, na CCM ikafanya uchaguzi na kushinda kwa kishindo

Maalim hapa unatakiwa ujifunze, sio kususa tu
kama kweli umeshinda utashinda tena na tena uchaguzi utakaporudiwa

Lakini tofauti hapa kwetu ni katiba kutokuruhusu matokeo ya uchaguzi wa rais kupingwa mahakamani, hivyo Maalim ulitakiwa urudie uchaguzi tu kulingana na taratibu zetu
Uchaguzi wa tanzania haupingwi mahakamani,katiba yetu ni mbovu na tume ya uchaguzi inateuliwa na rais unategemea nini hapo....tume huru kwa wazee wa visasi ni ndoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakumbukwa Tanzania kwa upande wa Zanzibar tulifanya uchaguzi wa marudio wa rais baada ya ule uchaguzi mkuu wa 2015 kufutwa

Chakushangaza dunia Maalim Seif alisusia, na CCM ikafanya uchaguzi na kushinda kwa kishindo

Maalim hapa unatakiwa ujifunze, sio kususa tu
kama kweli umeshinda utashinda tena na tena uchaguzi utakaporudiwa

Lakini tofauti hapa kwetu ni katiba kutokuruhusu matokeo ya uchaguzi wa rais kupingwa mahakamani, hivyo Maalim ulitakiwa urudie uchaguzi tu kulingana na taratibu zetu
Ni nani aliyeidhinisha uchaguzi wa marudio wa Zanzibar , kwa mamlaka gani na kwa sababu zipi ?
 
Ishu ni kama kawaida, kutokuwa na msimamo! Mlimsapoti odinga, ghafla mkamtupa kisa kapiga picha na Magufuli!

sio msimamo kila mmoja ana maono yake kushinda au kutokushinda kwa uhuru na odinga hakuna mantiki yoyote kuhusiana na chadema katika siasa zao labda kama tume ya kenya na tz zinashirikiana utaongea hayo
 
Ndio tujue wale wasimamizi na waangalizi wanaotoka nje nao wanafata mkumbo tu, walisema uchaguzi ulikua huru na haki.Shem on them.

Wale waangalizi huwa wanaangalia vitu vya nje tu mfano je watu waliruhusiwa kupiga kura bila mizengwe, upatikanaji wa vifaa vya uchaguzi kwa wakati n.k. Hivi vitu vilienda vizuri hivyo ndio maana wakasema uchaguzi ulikuwa HURU NA HAKI.
 
Huu ndo UKUDA wa nchi za AFRICA, Vijana hawana AJIRA, Kina mama wanateseka, PESA ZOTE ZINAPELEKWA Kwenye UCHAGUZI Masikini WANATESEKA. Hata huo UCHAGUZI wa MARUDIO hautakuwa PERFECT
Wanajigharamia wenyewe sio serikali.
 
chama kizima kinatembelea maono ya mgeni lws lkz gia kichwani zipanguliwe kila kukicha na matamko
 
Uko sahihi!
Ule uchafu alileta hapa Tz baadhi yao walitoka Kenya kama una kumbukumbu.
Kadanganyeni misukule wenzenu wasiojitambua. Matokeo ya Magufuli yaliyotangazwa na NEC yako tofauti na matokeo halisi ya karibu kila kituo ila kwa vile sheria zenu za Kikaburu eti matokeo hayahojiwi kokote!!

ACHA nikae KIMYA...!
 
Itakumbukwa Tanzania kwa upande wa Zanzibar tulifanya uchaguzi wa marudio wa rais baada ya ule uchaguzi mkuu wa 2015 kufutwa

Chakushangaza dunia Maalim Seif alisusia, na CCM ikafanya uchaguzi na kushinda kwa kishindo

Maalim hapa unatakiwa ujifunze, sio kususa tu
kama kweli umeshinda utashinda tena na tena uchaguzi utakaporudiwa

Lakini tofauti hapa kwetu ni katiba kutokuruhusu matokeo ya uchaguzi wa rais kupingwa mahakamani, hivyo Maalim ulitakiwa urudie uchaguzi tu kulingana na taratibu zetu
Hili jukwaa linaruhusu wajinga na waelevu kutoa maoni ni tatizo kubwa! Maalim anapaswa kushiriki marudio kwa AMRI Ya Jecha Au Mahakama? hovyo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio msimamo kila mmoja ana maono yake kushinda au kutokushinda kwa uhuru na odinga hakuna mantiki yoyote kuhusiana na chadema katika siasa zao labda kama tume ya kenya na tz zinashirikiana utaongea hayo
Ok.
 
Hawa majaji wetu wa bei ndogo watajifunza nini wakati kwao matumbo mbele sheria nyuma??

ACHA nikae KIMYA...!
 
Back
Top Bottom