The List
JF-Expert Member
- Mar 25, 2017
- 1,732
- 4,924
Kumbe kuganda watu yote njaaa tu ..kigagula ww, njoo nikupe hela ukalishe ukoo wenu wotehahahahahahahahahaha, nipe hela ya kunywa pombe leo sikukuuu hahahahahahahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kuganda watu yote njaaa tu ..kigagula ww, njoo nikupe hela ukalishe ukoo wenu wotehahahahahahahahahaha, nipe hela ya kunywa pombe leo sikukuuu hahahahahahahah
Nitakupitishia Gogo nikipita hapo koromije au unataka wanzuki?hahahahahahahahahaha, nipe hela ya kunywa pombe leo sikukuuu hahahahahahahah
Kwenye nchi hii ya laana ,impossible mkuu!Hayo ndio maamuzi ya mahakama kuu ya Kenya.
Jee demokrasia hiyo yawezekana hapa kwetu?
NASA walitakiwa wakate rufaa mahakama itoe tamko asionekane mtu yeyote mwenye nywele nyeupe toka Tanzania kuanzia sasa mpaka uchaguzi wa marudio upite.Walio manipulate results wanachukuliwa hatua yoyote??
Tatizo yule jamaa wa Tz alishatia nuksi na vijana wake wa IT kule! Huku walipigwa chini na kumbukumbu zinaonyesha baadhi ya hao vijana walikuwa imported kutoka Kenya.
Kiukweli ni kitendawili kisicho na jibu mkuu lakini ipo siku atapatikana wa kuifikisha hapo walipo wenzetu. Maana ckingine ila katiba ndio kila kitu maana ndio matunda yake tunayaona leo kwa wenzetu kule Kenya.Hii Demokrasia tutakuja kuifikia nchi yetu kweli?
Kumbuka majaji hawajasema Raila alishinda. Actually, wamesema sababu kuu ya matokeo ya leo ni kwamba uchaguzi ni 'process' ilhali si 'event'.
Yaani, kulikuwa na issues kadhaa kwa transmission, security features etc. lakini hakuna anaye doubt results. Hizi ndizo huitwa technicalities.
Nasa wenyewe hawakutoa mfano ata mmoja ambapo matokeo yaliyo tangazwa na IEBC katika eneo bunge lolote, yanatofautiana na matokeo waliopewa na agents wao.
Hii yote ndio huitwa circus. Mtazunguka lakini baadaye mnarudi pale pale.
Binafsi, sikudhani korti yaweza sema uchaguzi urudiwe kwa sababu ya technicalities. Lakini iliofanyika imefanyika. Sasa tungoje miezi mbili confirmation.
Zote zinapatikana kbsa mitaa hii lakn angalia usje ukanywa ukaanza kuimba unajifanya vanesa mdee[emoji23] [emoji23]hahahahha, nataka chimpumu au komoni
Ndugu yangu huelewi unacho zungumziwa.Habarini!
Kwanza kabisa napenda niwapongeze wakenya kwa hatua kubwa ambayo system yao ya democrasia upande wa kuchagua rais wamefikia!
Kitendo cha mahakama ya juu kutengua matokea ya urais ambayo yalisema Uhuru Kenyatta ndo mshindi kwa kigezo kuwa hayakuwa halali ni cha kupongezwa.
Kura za wakenya zilidukuliwa ktk computer.
Kitendo hili kimewahi tokea pia Tanzania ingawa huku kwetu matokeo yalitenguliwa na ZEC badala ya mahakama kwa sababu hizi hizi za udukuzi. Hivyo Jecha na team yake wanastahili pongezi nyingi sana kwa kutengua ule ushindi batili wa Seif ktk uchaguzi wa rais Zanzibar 2015.
Tanzania nasi tulikataa huu upuuzi wa kudukua matokeo ya uchaguzi kama majirani zetu walivyofanya! Demokrasia ni kuwaacha wananchi wake wachague viongozi wao wanaowataka wao sio kutumia komputer kwa njia za panya.
Heko to Tanzania na Kenya.