KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Mleta mada ni mpotoshaji. Wakati IEBC ilimtangaza Uhuru kama mshindi, ZEC haikumtangaza Maalim Seif kama mshindi. Wakati ni Supreme Court imetengua ushindi wa Uhuru, Zanzibar bila Jecha kuwa na mamlaka kikatiba - alifuta uchaguzi mzima, sio wa Rais tu bali na wabunge wa Zanzibar.

Mambo haya hayafanani. Kilicho kizuri ni kuwa umepata nafasi ya kujifunza na kuzitambua tofauti. Ila unafiki punguza au ondoa kabisa.
 
Mbona nilimsikia jaji Lubuva ambae alikua mwangalizi kule akidai uchaguzi ulikua huru na haki?
 
Hao majaji hopefully hawajatoa maamuzi kiukabila. Certainly Njokii na Ojwang' ni wakikiyu. Hao waliona uchaguzi ulikiwa wa haki.
 
[emoji53]
 

Attachments

  • IMG_20170901_140017_427.jpg
    IMG_20170901_140017_427.jpg
    17.5 KB · Views: 32
[emoji53]
 

Attachments

  • IMG_20170901_140209_762.jpg
    IMG_20170901_140209_762.jpg
    48.7 KB · Views: 31
Back
Top Bottom