Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Kuna kitu cha kujifunza kwenye hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Maalim Seif, usife moyo. Haya yatafika tu Tanzania. Mungu yupo.
.Nashauri tuchucopy katiba ya kenya na kuipaste tanzania.....
Ushindi wa kesi ni matokeo ya katiba mpya iliyompunguzia rais uwezo wa kuchagua majaji wakuu...wakuu wa police na idara nyingine nyeti....!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ndiye aliyesema alikuwa anasoma matokeo kama alivokuwa anayapokea.. Shame on himMbona nilimsikia jaji Lubuva ambae alikua mwangalizi kule akidai uchaguzi ulikua huru na haki?
wacha nikae kmya tu
On contrary! Zanzibar tume ilikuwa haijamtangaza Seifu na kumpa hati kama mshindi, secondly mahakama Kenya haijasema matokeo yalidukuliwa imesema kulikua na some irregularities kwa maafisa wa tume katika retirement forms thirdly iliyobatirisha matokeo ni mahaka sio tume unlike jecha inperson alivotengua and lastly kama kungekuwa na usikilizwaji wa matokeo ya uchaguzi, magufuli asingekuwa magogoni!Habarini!
Kwanza kabisa napenda niwapongeze wakenya kwa hatua kubwa ambayo system yao ya democrasia upande wa kuchagua rais wamefikia!
Kitendo cha mahakama ya juu kutengua matokea ya urais ambayo yalisema Uhuru Kenyatta ndo mshindi kwa kigezo kuwa hayakuwa halali ni cha kupongezwa.
Kura za wakenya zilidukuliwa ktk computer.
Kitendo hili kimewahi tokea pia Tanzania ingawa huku kwetu matokeo yalitenguliwa na ZEC badala ya mahakama kwa sababu hizi hizi za udukuzi. Hivyo Jecha na team yake wanastahili pongezi nyingi sana kwa kutengua ule ushindi batili wa Seif ktk uchaguzi wa rais Zanzibar 2015.
Tanzania nasi tulikataa huu upuuzi wa kudukua matokeo ya uchaguzi kama majirani zetu walivyofanya! Demokrasia ni kuwaacha wananchi wake wachague viongozi wao wanaowataka wao sio kutumia komputer kwa njia za panya.
Heko to Tanzania na Kenya.
Hakuna kiongozi nitakayemheshimu maisha yangu yote kama Kenyatta kwa kweli anajua maana ya separation of power.Hajakosea kwa hili alilolifanya naamini atashinda kwenye hayo marudio ya uchaguzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Irregularities kwako maana yake nini?? Udukuzi ni moja ya irregularities.On contrary! Zanzibar tume ilikuwa haijamtangaza Seifu na kumpa hati kama mshindi, secondly mahakama Kenya haijasema matokeo yalidukuliwa imesema kulikua na some irregularities kwa maafisa wa tume katika retirement forms thirdly iliyobatirisha matokeo ni mahaka sio tume unlike jecha inperson alivotengua and lastly kama kungekuwa na usikilizwaji wa matokeo ya uchaguzi, magufuli asingekuwa magogoni!
Eti eeh.Katika watu wapumbavu na wajinga katika dunia .
Explain.Mmhh true democracy
Nilifikiri kama wewe kabla ya kuusoma huu uzi..Sarcasm
Uchaguzi wa kenya ni somo zuri kwa nchi zingine zinazoegemea kwenye tume huru ya uchaguzi. Muhimu zaidi ni je Tume huru inaruhusu kuhojiwa? Kuangaliwa na chombo huru kingine?Habari!
Watanzania tumekuwa tukililia kuwa na tume huru ya kusimamia shughuli yote ya uchaguzi kwa kusema kuwa NEC haina. Hivyo wengine kudiriki kusema iko controlled na walio ktk dola kuweka matokeo kutokana na matakwa ya walio ktk dola.
Wenzetu wa Kenya wana IEBC kama tume huru ya kusimamia shughuli za uchaguzi. Ila ni wazi baada ya mahakama ya juu kutengua ushindi wa Uhuru Kenyatta ambaye alitangazwa na IEBC kuwa ni mshindi ktk uchaguzi ambao ilisemekana ni Free and Fair.
Mahakama kuu imetambua kuwa kuna udukuzi ulifanyika ktk mchakato ambao ulimwezesha Uhuru "kushinda", hivyo wametengua ushindi huo.
Je baada ya kuwapongeza sana wakenya kwa kuwa na tume huru ya uchaguzi, je ni kweli kuwa na tume huru kutaleta matokeo huru?? Je tume huru italeta mgombea aliyechaguliwa na wananchi kihalali??
Ni wazi tume hii haiko "huru" maana imeingiliwa na ni wazi wajumbe wake wamehusika!!
Je kwa haya ya Kenya, je NEC huru ni moja ya solution ya uchaguzi huru na wa haki??
Nakubaliana nawe. Suala la kuruhusu kuhojiwa na taasisis myingine tena ambayo nayo iko huru ni jambo la muhimu.Uchaguzi wa kenya ni somo zuri kwa nchi zingine zinazoegemea kwenye tume huru ya uchaguzi. Muhimu zaidi ni je Tume huru inaruhusu kuhojiwa? Kuangaliwa na chombo huru kingine?
Lakini sheria kama zetu zinasema Tume ikitangaza matokeo hakuna chombo chochote chenye mamlaka ya kuhoji, wala kuchungulia uhuru uliotumika ktk mchakato wa uchaguzi. Sasa Tume yenyewe ina watu wachache, walioteuliwa na anaekuwa mgombea pia, lakini wengi wao ni watu waliokuwa wamestaafu kazi. Kutarajia mtu huyo kuwa huru ni miujiza ya mwenyezi Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app