KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

hahahahahahahahahaha, nipe hela ya kunywa pombe leo sikukuuu hahahahahahahah
Kumbe kuganda watu yote njaaa tu ..kigagula ww, njoo nikupe hela ukalishe ukoo wenu wote
 
Walio manipulate results wanachukuliwa hatua yoyote??
Tatizo yule jamaa wa Tz alishatia nuksi na vijana wake wa IT kule! Huku walipigwa chini na kumbukumbu zinaonyesha baadhi ya hao vijana walikuwa imported kutoka Kenya.
NASA walitakiwa wakate rufaa mahakama itoe tamko asionekane mtu yeyote mwenye nywele nyeupe toka Tanzania kuanzia sasa mpaka uchaguzi wa marudio upite.
 


Uhuru Kenyatta is a thief.

Once a thief always a thief.

Yote yaliyofanyika kwa kuua Chris Msando , na system failure all that was a planned incident.
 
Kenyatta must go , Jubilee must go.

Kenyatta is a thief. Once a thief always a thief.
 
Inawezekana Kenya haipo Afrika... nchi za Afrika na vyombo vyake vya kutoa haki havipo hivi....

Tuitishe mkutano maalum wa AU ili kuindoa Kenya kwenye umoja wetu.
 
Angalau wamethubutu si kama sisi huku watu wanashinda kwa bao la mkono na bado hatuna pa kuwapeleka.
 
Ndugu yangu huelewi unacho zungumziwa.
 
Habari!
Watanzania tumekuwa tukililia kuwa na tume huru ya kusimamia shughuli yote ya uchaguzi kwa kusema kuwa NEC haina. Hivyo wengine kudiriki kusema iko controlled na walio ktk dola kuweka matokeo kutokana na matakwa ya walio ktk dola.

Wenzetu wa Kenya wana IEBC kama tume huru ya kusimamia shughuli za uchaguzi. Ila ni wazi baada ya mahakama ya juu kutengua ushindi wa Uhuru Kenyatta ambaye alitangazwa na IEBC kuwa ni mshindi ktk uchaguzi ambao ilisemekana ni Free and Fair.

Mahakama kuu imetambua kuwa kuna udukuzi ulifanyika ktk mchakato ambao ulimwezesha Uhuru "kushinda", hivyo wametengua ushindi huo.

Je baada ya kuwapongeza sana wakenya kwa kuwa na tume huru ya uchaguzi, je ni kweli kuwa na tume huru kutaleta matokeo huru?? Je tume huru italeta mgombea aliyechaguliwa na wananchi kihalali??
Ni wazi tume hii haiko "huru" maana imeingiliwa na ni wazi wajumbe wake wamehusika!!

Je kwa haya ya Kenya, je NEC huru ni moja ya solution ya uchaguzi huru na wa haki??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…