KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Kwnn na sisi tusifike huku tatizo tumelala sana yani wasukuma wawili m1 from kolmejay na mwngine wa tocha wanatusumbua na wanaingilia mahakama tu daaah south africa na kenya hawa ni moja ya nchi wanaume africa
Me ni teamUHURU bt km kulikua na makosa bora yarekebishwe tu maana naamini palipo na haki amani ipo pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kwetu uroho wa madaraka uko katika kiwango cha juu sana,haiwezekani,

ila uhuru atapasua tena,kama kawa kama dawa
 
ni kweli wakuu,nikakumbuka ule mwaka wa mwai kibaki kuapishwa ikulu mbio mbio.
kwa nini asingefanya hivyo?
 
Tayari mahakama ya juu ya kenya imeyafuta matokeo ya urais wa kenya na kuelekeza kuwa uchaguzi mwingine wa urais ufanyike ndani ya siku sitini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…