mwanaludewa
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 764
- 523
Hii kesi NASA hawawezi shinda wanapoteza muda bure Uhuru kashinda kihalali ndiyo maana yupo relaxedNASA wakichomoka hapo kwa kukubaliwa madai yao, nitakubali Kenya kwa demokrasia wako mbele
Poor You!Hii kesi NASA hawawezi shinda wanapoteza muda bure Uhuru kashinda kihalali ndiyo maana yupo relaxed
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli Kenya imetuacha mbali sana.. Sijui mahakama/majaji wetu wakiona huko wanajisikiaje!
Kwnn na sisi tusifike huku tatizo tumelala sana yani wasukuma wawili m1 from kolmejay na mwngine wa tocha wanatusumbua na wanaingilia mahakama tu daaah south africa na kenya hawa ni moja ya nchi wanaume africa
Me ni teamUHURU bt km kulikua na makosa bora yarekebishwe tu maana naamini palipo na haki amani ipo pia
Sent using Jamii Forums mobile app