KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Hapa kwetu uroho wa madaraka uko katika kiwango cha juu sana,haiwezekani,

ila uhuru atapasua tena,kama kawa kama dawa
 
The freedom of Judiciary has been highly determined.

Na hapa ndipo tunapotakiwa kujifunza umuhimu wa separation of powers na pia the independent functioning of each and every independent organ.

God Bless Kenya
 
Hahahaha... Magufuli kafanya yake Kenya

......
 
IMG_1712.jpg
 
[HASHTAG]#BREAKINGNEWS[/HASHTAG]:Mahakama ya juu zaidi nchini Kenya yafuta ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta, Wakenya kurudia uchaguzi katika siku 60 zijazo.@ITV BREAKING NEWS.

SHIKAMOO KENYAN JUDGES [emoji122] [emoji122] [emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenyans, i respect you for that! You trully are setting examples in Afrika.
I salute you!
image.jpeg
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    165.8 KB · Views: 38
Tupe taarifa kamili tujue bas...hiii nusu nusu inachanganya
Kwani lowasa anahusikaje na katika uchaguzi wa Kenya??na kwanini umempoint Eddo...na si mwingine
 
Kwnn na sisi tusifike huku tatizo tumelala sana yani wasukuma wawili m1 from kolmejay na mwngine wa tocha wanatusumbua na wanaingilia mahakama tu daaah south africa na kenya hawa ni moja ya nchi wanaume africa
Me ni teamUHURU bt km kulikua na makosa bora yarekebishwe tu maana naamini palipo na haki amani ipo pia

Sent using Jamii Forums mobile app

M mwenywe team Uhuru lakn wakenya wameonesha demokrasia kubwa sana I love this country...
 
Back
Top Bottom