gmail mkulima
Senior Member
- Jun 11, 2017
- 186
- 114
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo MZEE yupo?
Id IPO mombasa na malindiAlafu Kenya hamna sikukuu ya Eid? Mbona mahakama inafanya kazi leo
maalim ni kweli alishinda lia kwa serikali ya ccm kutoka madarakani ni mpaka mtutu wa bunduki hivihivi hakuna kitu na mahakama zetu zinacheza beat za ccm.Ccm oyeeee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya ni kama nchi yote ni ya KikristoAlafu Kenya hamna sikukuu ya Eid? Mbona mahakama inafanya kazi leo
Ficha upumbavu wako mkuu,hizo ni scenario mbili tofauti mnooItakumbukwa Tanzania kwa upande wa Zanzibar tulifanya uchaguzi wa marudio wa rais baada ya ule uchaguzi mkuu wa 2015 kufutwa
Chakushangaza dunia Maalim Seif alisusia, na CCM ikafanya uchaguzi na kushinda kwa kishindo
Maalim hapa unatakiwa ujifunze, sio kususa tu
kama kweli umeshinda utashinda tena na tena uchaguzi utakaporudiwa
Lakini tofauti hapa kwetu ni katiba kutokuruhusu matokeo ya uchaguzi wa rais kupingwa mahakamani, hivyo Maalim ulitakiwa urudie uchaguzi tu kulingana na taratibu zetu
Inawezekana Kenya siyo nchi nyingine za EA. Zanzibar, Tanganyika huruhusiwi hata kuhoji au kuzungumzia matokeo ya urais na ndiyo maana kuna rafu na sarakasi za wazi za kila aina, sijui Rwanda, Burundi, S.Sudani na Uganda.Mpaka hapo hata kama uchaguzi usiporudia wamejaribu kuonyesha demokrasia inawezekana afrika mashariki
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila sidhani kama kuna kampeni, ni shughuli yenyewe ya uchaguzi! NASA na JUBILEE wanaweza, ishu ni vyama vingine vidogo vya upinzani!mkuu hapo mahakama imesema kila chama kitabeba gharama.
Sasa Chadema mnasimamia wapi????
Mnakataa maamuzi ya Mahakama????
Mahakama imesema uchaguzi haukufuata demokrasia na nyie mlisema Uhuru ni baba wa demokrasia na uchaguzi umefanywa kwa demokrasia...majibu tafadhali maana hatujui mnasimamia nini toka Dr. Slaa ameondoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi!Yule white hair ndiye aliyepeleka mbinu chafu za kuingilia server na kujaza vitu vyao?