KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Ndio tujue wale wasimamizi na waangalizi wanaotoka nje nao wanafata mkumbo tu, walisema uchaguzi ulikua huru na haki.Shem on them.
 
Kenya wako vizuri sana..si umeona hata media zao zilikua na live coverage mahakamani..huku kwetu mnapewa taarifa wakishatoka..unless otherwise..
 
Kuwa Judge Tanzania ni Usakala mtupu. Unakua na Judge kama Warioba anafanya kazi kiueledi kabisa halafu anashambuliwa na kupingwa, baadaye anaitwa meza kuu anaanza kupingana na kile alichokua akikiamini na kukihubiri. Eti leo anatuambia Magufuli anatosha. Yaani all over sudden Magufuli anakua ni mtu bora kabisa kuliko Katiba.

Damn
 
Itakumbukwa Tanzania kwa upande wa Zanzibar tulifanya uchaguzi wa marudio wa rais baada ya ule uchaguzi mkuu wa 2015 kufutwa

Chakushangaza dunia Maalim Seif alisusia, na CCM ikafanya uchaguzi na kushinda kwa kishindo

Maalim hapa unatakiwa ujifunze, sio kususa tu
kama kweli umeshinda utashinda tena na tena uchaguzi utakaporudiwa

Lakini tofauti hapa kwetu ni katiba kutokuruhusu matokeo ya uchaguzi wa rais kupingwa mahakamani, hivyo Maalim ulitakiwa urudie uchaguzi tu kulingana na taratibu zetu
Ficha upumbavu wako mkuu,hizo ni scenario mbili tofauti mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka hapo hata kama uchaguzi usiporudia wamejaribu kuonyesha demokrasia inawezekana afrika mashariki

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana Kenya siyo nchi nyingine za EA. Zanzibar, Tanganyika huruhusiwi hata kuhoji au kuzungumzia matokeo ya urais na ndiyo maana kuna rafu na sarakasi za wazi za kila aina, sijui Rwanda, Burundi, S.Sudani na Uganda.

Hata Rais kutoshitakiwa ndiyo kunako wapa kibuli cha kufanya watakayo hata kama ni kinyume na katiba.

Hapa kuna mkanganyiko wa kikatiba wanasheria watusaidie kufungua kesi mahaka husika.

Katiba inatamka hakuna chombo kilichopo au mtu aliyopo juu ya sheria, na kwamba rais atatii katiba.

Ataitii vipi kama akiivuja hawezi kushitakiwa?
 
Yule white hair ndiye aliyepeleka mbinu chafu za kuingilia server na kujaza vitu vyao?
 
T
mkuu hapo mahakama imesema kila chama kitabeba gharama.
Ila sidhani kama kuna kampeni, ni shughuli yenyewe ya uchaguzi! NASA na JUBILEE wanaweza, ishu ni vyama vingine vidogo vya upinzani!
 
Sasa Chadema mnasimamia wapi????

Mnakataa maamuzi ya Mahakama????

Mahakama imesema uchaguzi haukufuata demokrasia na nyie mlisema Uhuru ni baba wa demokrasia na uchaguzi umefanywa kwa demokrasia...majibu tafadhali maana hatujui mnasimamia nini toka Dr. Slaa ameondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tunasimamia pale pale kwamba Kenyatta ameonyesha demokrasia ya hali ya juu.
1.Ameipa Mahakama haki yake ya kutoa maamuzi bila uoga tofauti na hapa kwetu Mahakama itoa order usivunje nyumba unaenda kubomoa halafu unasema haukujua.
2.Alisema atakubaliana na maamuzi ya Mahakama nayo ni kwa rais anayejua nini maana ya Demorasia kuliko wa kwetu wameshindwa bado wakaamrisha kufuata uchaguzi.

CCM jifunzeni toka Kenya.
 
Heeh! Ndiyo kusema mamvi ajiandae upya kwa kampeni!!
 
Nchi ambayo rais wao ameongoza miaka miwili tu na watu wanafiki na waganga njaa wameshaanza kumpigia debe aongezewe muda(wakati hata ule uliopo kikatiba hajakaribia kuumaliza) unategemea watajifunza nini kutoka Kenya??

Tatizo kubwa la Tanzania ni watu waliosoma wakaelimika kugeuka vibaraka na wajingawajinga mbele ya wanasiasa!

Ukizisoma vizuri,mahakama na tume ya uchaguzi ziko huru kisheria..

Sijui tatizo ni nini?
 
Back
Top Bottom