KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Sasa hivi hujui ni pigo kivipi?? Kwanza mlimsaliti mpinzani mwenzenu mkamuacha anakanyagwa na SERIKALI bila msaada wenu! Mbaya zaidi ni mtu mliyemsapoti zamani.

akili zako we jamaa hatar tupu kwa kuwa ni mpinzani basi wapinzani wanatakiwa kumuunga mkono hii mpya tanzania bana kwa hiyo magufuli kahuzunika natokeo ya uhuru yalivyofutwa kwa kuwa uhuru sio mpinzani.
 
Huu ndo UKUDA wa nchi za AFRICA, Vijana hawana AJIRA, Kina mama wanateseka, PESA ZOTE ZINAPELEKWA Kwenye UCHAGUZI Masikini WANATESEKA. Hata huo UCHAGUZI wa MARUDIO hautakuwa PERFECT
Demokrasia na Haki ya kusikilizwa.
 
Itakumbukwa Tanzania kwa upande wa Zanzibar tulifanya uchaguzi wa marudio wa rais baada ya ule uchaguzi mkuu wa 2015 kufutwa

Chakushangaza dunia Maalim Seif alisusia, na CCM ikafanya uchaguzi na kushinda kwa kishindo

Maalim hapa unatakiwa ujifunze, sio kususa tu
kama kweli umeshinda utashinda tena na tena uchaguzi utakaporudiwa

Lakini tofauti hapa kwetu ni katiba kutokuruhusu matokeo ya uchaguzi wa rais kupingwa mahakamani, hivyo Maalim ulitakiwa urudie uchaguzi tu kulingana na taratibu zetu
Unalinganisha Zanzibar Na Kenya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Speed ya mahakama nimeipenda sana wale wanaopelekaga kesi mahakamani na kujificha kwenye kivuli cha uchunguzi haujakamilika pamoja na kuzuia dhamana kuna chakujifunza hapo. Pamoja kesi za uchaguzi kumbe zinaweza isha ndani ya mwezi mmoja
 
Binafsi nimefurahi sana kuonaa Kenya kwa mara nyingine imeonesha upekee Afrika. Nafikiri Tanzania kwa mambo ya uhuru wa mahakama na democrasia kwa ujumla tuko nafasi ya mwisho. Tunahitaji 50yrs kuwafikia Wakenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani kuwa Mkenya lakini ndo hivyo tena. Yaani hizi sifa wanazopewa Kenya Kidemkrasia tulitakiwa tupewe sisi lakini kuna watu wa ovyo wanaturudisha nyuma kwa kuhodhi kila kitu. Wahafidhina Wa madaraka wanatufanya tuonekane kituko mbele ya jamii ya Kimataifa! Kenya; mlifanyaje mpaka mkafikia hatua hii???

ACHA nikae KIMYA...!
 
kwa formula zile za kuiba. i lazima tu haya kuyategemea
 
Kwa hali hii,Wakenya wataendelea kuwa juu kifikra kuliko mataifa mengi hapa EA!
 
T

Ila sidhani kama kuna kampeni, ni shughuli yenyewe ya uchaguzi! NASA na JUNILEE wanaweza, ishu ni vyama vingine vidogo vya upinzani!
Ni kweli mkuu hasa wale wagombea binafsi!!! itakuwa ishu kwao.
 
Yule white hair ndiye aliyepeleka mbinu chafu za kuingilia server na kujaza vitu vyao?

acha kupotosha watu siku zote viongozi wa vyama vilivyoshika uongozi ni wezi hata hapa mr hofu anajua hilo ukitaka kujua angalia jecha na propesa walivyotumika.
 
Afrikaans mashariki gani unamaanisha Rwanda, Uganda,Burundi na Tanzania n
Original ya afrika mashariki ni kenya, Tanzania na uganda,aliyekaribisha rwanda na burundi ndo inasababibisha tabia za ukurunzinza kushamili!uganda asingeweza kushamili peke yake kwa kipindi ambacho eac ilikuwa inaundwa tz na kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom