KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

CCM ijifunze kitu hapa.ule muhimili uliojichimbia chini ujiangalie sana
 
Aisee kweli Wakenya wametuacha mbali sana!

Ingekuwa ni hapa kwetu, huyo judge aliyetengua matokeo angekuwa kesharipuliwa na magrunedi.
 
Huu ndo UKUDA wa nchi za AFRICA, Vijana hawana AJIRA, Kina mama wanateseka, PESA ZOTE ZINAPELEKWA Kwenye UCHAGUZI Masikini WANATESEKA. Hata huo UCHAGUZI wa MARUDIO hautakuwa PERFECT
Democracy ina gharama zake na ndo hizo kumbuka Kenya ni nchi ambayo budget yake inajitosheleza sio kama sisi jipange wacha ujuha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katiba yetu inatukinga kurudia uchaguzi kwa mala nyingine wakati alieshindwa awali hawezi kushinda kwa vyovyote.

mafisadi hayana rangi
 
Tunasimamia pale pale kwamba Kenyatta ameonyesha demokrasia ya hali ya juu.
1.Ameipa Mahakama haki yake ya kutoa maamuzi bila uoga tofauti na hapa kwetu Mahakama itoa order usivunje nyumba unaenda kubomoa halafu unasema haukujua.
2.Alisema atakubaliana na maamuzi ya Mahakama nayo ni kwa rais anayejua nini maana ya Demorasia kuliko wa kwetu wameshindwa bado wakaamrisha kufuata uchaguzi.

CCM jifunzeni toka Kenya.
Safi kabisa mkuu....ingekua hapa kwetu sidhani hata kama hiyo kesi ingesikilizwa, hao majaji wangekua wanajitoa tu nafikiri...kuna watu hapa Tz wananguvu zaidi ya mahakama inavyoonekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JF Bwana! kipindi cha uchaguzi waliokuwa upande wa Uhuru eti leo, wanaona Odinga kafanya vema! hahahahahahaha
 
Kenyatta is a thief from past regimes of president Moi and President, Kibaki .

"Once a thief, always a thief!! "

Ni wakati kujiuliza kwamba ni lini CCM watafanya Tanzania kuwa na mahakama huru kama Kenya; wala siyo aibu kwa Chadema ni Muda wa Chama tawala kujifunza!!

Ili upate jibu zuri ni.lazima uhakikishe kwanza kuwa TL anakuwa na hekima tatizo kuongea bila strategies ni ujuhuha.

Mfano, Chadema wangetumia hata roho tu ya akili ya Mchungaji Mtikila (RIP) hicho kingewezekana.

Ila hii akili ya maandamano , fujo, kumtukana rais, haitakaa iwezekane kamwe.

Mfano, RAO na NASA, walitumia hekima sana baada ya kuona watu wataingia mitaani Raila (RAO) akawatuliza wafuasi wake kuwa sasa, tunaenda mahakamani.

Hiyo ndiyo akili, hakika sasa Raila anastahili kuwa Rais wa Kenya kwa hekima na ukomavu aliouonesha.

Waambie upinzani, watumie akili ila wakitumia chiriku language ya LT hakika hata Miaka 1000+ hakuna watakachoambulia hata kama kutakuwa na katiba mpya, mahakama huru na tume huru ya uchaguzi.
 
Kenyatta is a thief from past regimes of president Moi and President, Kibaki .

"Once a thief, always a thief!! "

Ni wakati kujiuliza kwamba ni lini CCM watafanya Tanzania kuwa na mahakama huru kama Kenya; wala siyo aibu kwa Chadema ni Muda wa Chama tawala kujifunza!!

Ili upate jibu zuri ni lazima uhakikishe kwanza kuwa TL anakuwa na hekima tatizo kuongea bila strategies ni ujuha.

Mfano, Chadema wangetumia hata robo tu ya akili ya Mchungaji Mtikila (RIP) hicho kingewezekana.

Ila hii akili ya maandamano , fujo, kumtukana rais, haitakaa iwezekane kamwe.

Mfano, RAO na NASA, walitumia hekima sana baada ya kuona watu wataingia mitaani Raila (RAO) akawatuliza wafuasi wake kuwa sasa, tunaenda mahakamani.

Hiyo ndiyo akili, hakika sasa Raila anastahili kuwa Rais wa Kenya kwa hekima na ukomavu aliouonesha kwenye hili sakata la wezi wa kura.

Waambie upinzani, watumie akili ila wakitumia chiriku language ya LT hakika hata Miaka 1000+ hakuna watakachoambulia hata kama kutakuwa na katiba mpya, mahakama huru na tume huru ya uchaguzi.
 
Hivi punde,Mahakama ya Juu ya Kenya imeridhika na hoja za Umoja wa Vyama vya Upinzani (NASA) kuwa uchaguzi haukufuata Katiba na sheria na ulikuwa na kasoro. Ni uamuzi wa Majaji wengi.

Jambo muhimu hapa la kujifunza, je waangalizi wa kimataifa wana umuhimu wowote au ni kama watalii tu katika chaguzi hizi?
 
Raila atashindwa tena , ila angalau atakuwa amejiridhisha , kwahiyo maswali yako yatakuwa yamejibiwa kikamilifu .
Kwahio mnampongeza Raila kwa ushindi alioupata wa petition yake?

Maana amewafundisha kutokuwa vigeugeu.
 
Tunaheshimu sheria hakuna aliye juu ya sheria

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Kila kitu mnachishabikia kinaangukia pua!

Lowassa sijui ananisikiaje wakati huu!

Hivi inajisikiaje wewe mpinzani kushabikia chama tawala amabcho mahakama inasema kabisa kilibaka uchaguzi.

......
 
Back
Top Bottom