Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu chadema wanatia hurumaNaomba Chedema watoe tamko la kulaani.
Sasa kipindi hicho nchi itakuwa inaongozwa na nani?
Mwambie mwenyekiti achague Jaji mkuu, mambo ya kukaimu anajichoreshachama kizima kinatembelea maono ya mgeni lws lkz gia kichwani zipanguliwe kila kukicha na matamko
Mkuu hapa ni kufanya machakato wa kuhamia kenya..hapa ngosha kavuruga utaratibu wake..kaizika demokrasia ana fanya maamuzi utazani nchi haina katiba..sio siri inakatisha tamaaa...Wakenya wanajielewa. Ndilo Taifa kubwa Afrika Mashariki kiuchumi, kidemokrasia pengine hata kitaaluma.
Democracy ina gharama zake na ndo hizo kumbuka Kenya ni nchi ambayo budget yake inajitosheleza sio kama sisi jipange wacha ujuhaHuu ndo UKUDA wa nchi za AFRICA, Vijana hawana AJIRA, Kina mama wanateseka, PESA ZOTE ZINAPELEKWA Kwenye UCHAGUZI Masikini WANATESEKA. Hata huo UCHAGUZI wa MARUDIO hautakuwa PERFECT
Safi kabisa mkuu....ingekua hapa kwetu sidhani hata kama hiyo kesi ingesikilizwa, hao majaji wangekua wanajitoa tu nafikiri...kuna watu hapa Tz wananguvu zaidi ya mahakama inavyoonekanaTunasimamia pale pale kwamba Kenyatta ameonyesha demokrasia ya hali ya juu.
1.Ameipa Mahakama haki yake ya kutoa maamuzi bila uoga tofauti na hapa kwetu Mahakama itoa order usivunje nyumba unaenda kubomoa halafu unasema haukujua.
2.Alisema atakubaliana na maamuzi ya Mahakama nayo ni kwa rais anayejua nini maana ya Demorasia kuliko wa kwetu wameshindwa bado wakaamrisha kufuata uchaguzi.
CCM jifunzeni toka Kenya.
Ni wakati kujiuliza kwamba ni lini CCM watafanya Tanzania kuwa na mahakama huru kama Kenya; wala siyo aibu kwa Chadema ni Muda wa Chama tawala kujifunza!!
sijuiKwani sasa hivi inaongozwa na nani ?
Ni wakati kujiuliza kwamba ni lini CCM watafanya Tanzania kuwa na mahakama huru kama Kenya; wala siyo aibu kwa Chadema ni Muda wa Chama tawala kujifunza!!
CCM ijifunze kitu hapa.ule muhimili uliojichimbia chini ujiangalie sana
Kwahio mnampongeza Raila kwa ushindi alioupata wa petition yake?Raila atashindwa tena , ila angalau atakuwa amejiridhisha , kwahiyo maswali yako yatakuwa yamejibiwa kikamilifu .
Kila kitu mnachishabikia kinaangukia pua!Tunaheshimu sheria hakuna aliye juu ya sheria
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?