KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Uhai wa MTU utaondoka kutokana maamuzi haya


let's wait and watch
 
Kadanganyeni misukule wenzenu wasiojitambua. Matokeo ya Magufuli yaliyotangazwa na NEC yako tofauti na matokeo halisi ya karibu kila kituo ila kwa vile sheria zenu za Kikaburu eti matokeo hayahojiwi kokote!!

ACHA nikae KIMYA...!
Haya bana. Kama waliiba sidhani kama sisiemu wangekuwa tayari kuwaachia Dar, Mbeya na Arusha!
Ni kwamba Magufuli alishinda kihalali na kura myingi alizipatia main land.
 
Demokrasia ya kuua watumishi wa Tume?
Mtu anaongea huku kabana Pua *Tanzania ijifunze toka Kenya*
Hovyo kabisa
Raila ndiyo anastahili sifa kwa kupigania Haki
Mwai Kibaki aliiba Kura akaapishwa kwa Mtutu wa Bunduki
Kenyatta kaiba Kura kaonekana hapo bado anapongezwa kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajigharamia wenyewe sio serikali.
Wanai-FUND na tume ya uchaguzi ?

- Watafidia muda unaopotea kwa kutokufanya kazi, kuwa busy na uchaguzi ?

- Tension na Stress za uchaguzi gharama zake itakuwaje kwasababu hata ATAKAYESHINDWA TENA, Ataenda MAHAKAMANI na kwasababu siku zote UCHAGUZI siyo PERFECT majaji wanaweza kusema URUDIWE Tena!
 
Kenya Mungu awabariki mnaonesha Dunia kwamba Africa hasa kwenye Elimu nzuri kuna ustaarabu wa kutosha baada ya Ghana,Afrika kusini na Zambia Demokrasia ya Kenya na vyombo vya maamuzi mmeonesha dunia tunaweza.
Niko kwa Uhuru lakini uamuzi huu naupongeza sana kwasababu haki ni muhimu kuliko mapenzi.
Hii aibu chadema sijui mtaficha wapi,

......
 
Kama huo uamuzi wa mahakama utafuatwa...bac Kenya watakua mfano wa kuigwa Africa..hasahasa si watanzania, tujufunze kuheshimu mahakama na kutokuingilia maamuzi ta mahakama..
Kenyatta...nae anapaswa kupongezwa....sababu angekua kiongozi wa Kiimla hata hiyo kesi kupelekwa mahakamani isingefika....Chukulieni mfano wa hapa kwetu....mara uchaguzi unafutwa ovyoovyo....etc

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania hakuna uchaguzi kuna maigizo Mkuu. MTU mmoja anaweza kuamua nani ashinde na kwa kura ngapi tofauti na maamuzi ya wapiga kura.

ACHA nikae KIMYA...!
 
Alafu Kenya hamna sikukuu ya Eid? Mbona mahakama inafanya kazi leo

Hizo dini za kigeni a.k.a warabu pori ndizo zinawamaliza Kenya maana walipuaji ni dini hizo kwa kupitia kundi la Al-Shabab nadhania akili imeanza kuwarudi wakenya.
 
Mungu wangu, ina maana uchaguzi utarudiwa tena? gharama za uchaguzi? uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Mungu shusha amani yako kwa majirani zetu, kusitokee ghasia yoyote!
Gharama zimefanyaje sasa? Ina maana wewe ukinunua chakula fake safarini utaendelea kula tu kwa sababu umetumia gharama kukinunua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila kitu mnachishabikia kinaangukia pua!

Lowassa sijui ananisikiaje wakati huu!

Hivi inajisikiaje wewe mpinzani kushabikia chama tawala amabcho mahakama inasema kabisa kilibaka uchaguzi.

......
Hueleweki bwana mdogo

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Mada yako tunajua uliemlenga na jua kuwa hajaribiwi huku kujifichia kwa chadema ni janja yako tu ila werevu wameelewa unaemsema
 
Back
Top Bottom