Fraeda
Member
- Dec 28, 2016
- 21
- 29
Kenya imeonyesha njia ambayo inaweza kutumika kama footstep kwa karibu labda tz kama wabongo wakikomaa mana uganda,rwanda na burundi hakuna dalili labda masia akirudi mara ya pili huko raisi ni kama kaka yake yesu au mtume!Inawezekana Kenya siyo nchi nyingine za EA. Zanzibar, Tanganyika huruhusiwi hata kuhoji au kuzungumzia matokeo ya urais na ndiyo maana kuna rafu na sarakasi za wazi za kila aina, sijui Rwanda, Burundi, S.Sudani na Uganda.
Hata Rais kutoshitakiwa ndiyo kunako wapa kibuli cha kufanya watakayo hata kama ni kinyume na katiba.
Hapa kuna mkanganyiko wa kikatiba wanasheria watusaidie kufungua kesi mahaka husika.
Katiba inatamka hakuna chombo kilichopo au mtu aliyopo juu ya sheria, na kwamba rais atatii katiba.
Ataitii vipi kama akiivuja hawezi kushitakiwa?
Sent using Jamii Forums mobile app