Hatuwezi kuwaamini mkuu ni wakundi lilee wewe wajua.Wale Wazee wa Africa waliosema "Uchaguzi ulikua huru na haki kasoro matatizo machache" tuendelee kuwaamini!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuwezi kuwaamini mkuu ni wakundi lilee wewe wajua.Wale Wazee wa Africa waliosema "Uchaguzi ulikua huru na haki kasoro matatizo machache" tuendelee kuwaamini!??
Yaani mkuu hawajamaa wako vizuri sana kiukweliKenya wanajitambua sana. Na ili kuhakikisha hakuna figisu, proceedings za kesi zilikuwa live bila chenga huku Advocates wa Kenyatta/IEBC wakijiumauma tu. Ni kazi sana kutetea wizi uliofanyika asubuhi huku aliyeibiwa yupo calm na ana almost evidence zote
Wastage of time and resources, RAO will loose again.....
Hakika Mimi [HASHTAG]#Poise[/HASHTAG], nilisema wazi kuwa Raila , ameshinda ila hatatangazwa humu Jukwaani walitaka kunikaanga kwenye mafuta ya kula yaliyochemshwa!!
Sasa , nilichosema kimewekwa wazi leo na bado Chris Msando (RIP) damu yake imemwangwa bila hatia inauma sana.
Kila la Heri kwako. Raila Amoro Odinga (RAO) na NASA ushindi lazima upatikane sasa.
Mkuu usiseme kiingereza kigumu,sema hiyo lugha ni ngeni kwa watanzania ndo maana tumebaki kukomaa na kiswahili kisicho na uhitaji sana ulimwenguni kwa sasaDuh..majaji wanatumia kiingereza kigumu mimi sjaambulia kitu
Dah mm lugha yao ya kisheria kwangu chenga tu,nasubir mwishoni kusikia tu fulani ndo kashinda baaas.
kwa kutukuza vya watu hamjambo,si ajabu unataman hata ungekua na makalio kama ya wakenya,umbele wao hapo uko wapi!!?
Mnama Wakenya wametoa mfano mzuri sana kwa nchi za East AfrikaKenyatta for kinyaa
Matokeo yamefutwa Kenya???
Me nafikiri tatizo huwa ni faulo kipindi cha uhesabuji kura, huko kwingine hakuna mantiki yoyote ya kukonkludi kuwa ucahguz ulikuwa huru na wa haki..Kimantiki hawajakosea pahala popote. Ni kweli kwamba uchaguzi ulikuwa huru na wa haki.. wao hawakusimamia zoezi la kuhesabu kura kwa hiyo tatizo liko kwa Tume kuhusu utoaji matokeo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeisikia lakini ruling ya mahakama? haijasema Kenyatta ame cheat mahali bali tume ndio imefanya makosa ya kiutendaji kinyume na katiba ya Kenya. Muw mnafuatilia kwa umakini sio kuchukua mambo juujuu kama yale ya makinikia