kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,746
japo watanzania na jumuiya za kimataifa zikiipongeza mahakama yenu ya upeo ( kenya supreme court) kwa ukomavu iliouonyesha katika kutenda majukumu yake bila kuingiliwa na mhimili mwingine wenye nguvu,hakuna shaka kwamba huko mlima kenya kuna wezee wa jadi wamejichimbia kwenye vilindi vya mlima wakifanya makafara ya kutisha na kupanga mipango ovu kuhakikisha rais wa kenya hatoki katika kabila lengine isipokuwa Kikuyu au mshirika wao kalenjin.Hehehe!! Mimi sio muwakilishi wa Uhuru Kenyatta popote pale, ni haki yangu kumchagua rais nimtakaye kama jinsi ilivyo kwa wenzetu wanaomfagilia Raila. Japo cha msingi, Kenya kwanza.... bendera yetu na uzalendo ndio vitu vya msingi kwangu, mengine ni mapito tu. Fuata tamko langu huku Tupunguze mipovu na kuwa watulivu, huu ushindani ni wetu sote
hivyo ndivyo itakavyokuwa katika matokeo ya uchaguzi wa marudio.
uhuru tano tena.