KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Hehehe!! Mimi sio muwakilishi wa Uhuru Kenyatta popote pale, ni haki yangu kumchagua rais nimtakaye kama jinsi ilivyo kwa wenzetu wanaomfagilia Raila. Japo cha msingi, Kenya kwanza.... bendera yetu na uzalendo ndio vitu vya msingi kwangu, mengine ni mapito tu. Fuata tamko langu huku Tupunguze mipovu na kuwa watulivu, huu ushindani ni wetu sote
japo watanzania na jumuiya za kimataifa zikiipongeza mahakama yenu ya upeo ( kenya supreme court) kwa ukomavu iliouonyesha katika kutenda majukumu yake bila kuingiliwa na mhimili mwingine wenye nguvu,hakuna shaka kwamba huko mlima kenya kuna wezee wa jadi wamejichimbia kwenye vilindi vya mlima wakifanya makafara ya kutisha na kupanga mipango ovu kuhakikisha rais wa kenya hatoki katika kabila lengine isipokuwa Kikuyu au mshirika wao kalenjin.

hivyo ndivyo itakavyokuwa katika matokeo ya uchaguzi wa marudio.
uhuru tano tena.
 
Kenya uchaguzi kurudiwa baada ya siku 60 uamuzi umetolewa na mahakama ya juu chini ya majaji 6 wa mahakama kuu kenya kati ya sita wa nne wameamuru uchaguzi urudiwe wawili wamesema uchaguzi ulikuwa auna dosari

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi mkuu, mara ya kwanza mimi nakuona unachapia comment kwa mada inayohusu Kenya. Zile picha zako kule jamii Photos huwa ni full burudani jombaa, tunapitaga kimya kimya tu. Kwenye hilo jukwaa we ndo Justice Maraga, msabato mwenyewe! 😀
 
Kuna umuhim gani kuviita vyombo vya kimataifa kuja kusimamia uchaguzi kwenye nchi za Africa, kama vyombo vyote vya kimataifa vimesema uchaguzi ulikuwa wa haki
 
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂 Hawa jamaa wanampatia sana Odinga jamani.

 
Hapa hata chadema pia

Kwa hili ndio utagundua akili kubwa ya Magufuli asee, alisita kutoa pongezi tukamuandama, na wengine wakamkejeri odinga sijui watajifunza nini hapa
IMG_20170903_082144_615.JPG
ndo mnavodanganyana huko CCM kwamba Magufuli hakumpongeza Uhuru.
 
Kutoelewa hoja nako ni ugonjwa, pole muone daktari
sindano imekuingia hiyo.msipende kuropoka na kumpa misifa ya kijinga uyo magufuli.nimekuwekea tweet yake ya kumpongeza Uhuru kwa kushinda urais naona kwa aibu umeamua kujitoa akili.

usirudie siku nyingine kukurupuka.
 
sindano imekuingia hiyo.msipende kuropoka na kumpa misifa ya kijinga uyo magufuli.nimekuwekea tweet yake ya kumpongeza Uhuru kwa kushinda urais naona kwa aibu umeamua kujitoa akili.

usirudie siku nyingine kukurupuka.
Hivi ulinielewa au unaongea tuu??

Embu angalia na fuatilia ni kwa nini alichelewa kutoa pongezi?? Mbona unakuwa hivo??

Wewe sio mwana chadema utakuwa pandikizi kutoka ccm, maana chademabhaijawahi kuwa na mtu kama wewe
 
Hivi ulinielewa au unaongea tuu??

Embu angalia na fuatilia ni kwa nini alichelewa kutoa pongezi?? Mbona unakuwa hivo??

Wewe sio mwana chadema utakuwa pandikizi kutoka ccm, maana chademabhaijawahi kuwa na mtu kama wewe
najua umeshanielewa sina sababu ya kuendeleza mjadala hapa. Halafu ukome kunifananisha na CCM narudia tena UKOME.
 
Back
Top Bottom