Ndekrepha
JF-Expert Member
- Jun 4, 2020
- 1,506
- 2,660
Taratibu naona akili zinaanza kukurudia. Halafu ziwezi kupoteza muda wangu kwa chuki juu ya kenya..for what? Hao wataalam wanaosema kenya ndio giant area hii ndio hao hao wanaowaletea msaada wa chakula sio? Na ndio hao wanaofaidika na miradi hapo kuliko wakenya sio? Wewe uliona wapi giant country ikipewa food donations? Uliona wapi giant country inashindwa kulipa watu wake salary? Giant country kwenye ugatuzi hapo mnashindwa jinsi ya kupata formula ya kugawana fedha za maendeleo?bro haina aja tuvutane na mabisho yenye haina msingi ilhali niwewe pia uliingilia mazungumo yangu..by the way if you feel that tanzania is better than kenya.
Thats your opinion and we respect it. Everyone is entitled to his/her opinion. But jiulize mbona watalaam wanasema kenya is the economic giant of East Africa. Last time your members of parliament walikua wana mazungumzo kuhusu kenya na tena walikua wanasema kenya is more developed and tz should stop fearing them and corporate with them for development.
Hii tabia ya chuki sijui ilitoka wapi. ungekua mjanja badala kubishana ..ungemtafta mkenya mmoja mupige deal nayeye ili upate pesa.juu kenyans are good at that..badala kuwachukia. honestly mimi nikipata tz mwenye anataka market ya bidhaa zake mbona nimsaidie tupate hela sote na tuendele..hii chuki achana nayo.it will drain you more and at the end of the day..wewe ndio utaonekana mjinga.
Muwe mnajiongeza bhas na nyie, sasa mnaitwa giant halafu na nyie kama makasuku mnaimba tu giant ila kwa ground hamna kitu.. halafu Tz haina chuki na Kenyaland,