haha mambo ya internet we nyamanza tu hapo haha.
nina jamaa(relatives) wanafanya kazi Daresaalam kwa a private internet connection company huwa ninanunua equipment kama routers na kumtumia na magari za kuenda Dar. huwa ananiambia vile izo bidhaa ni vigumu kupatikana kule na yakipatikana, bei ni kama mara dufu ya huku.
Pia ananielezea vile fibre optic connection dar bado ipo chini sana. Kitu ilinishangaza ni kwamba Fibre optic connection ya 2mbps mnalipa karibu ksh 10,000 per month wakati mimo nalipa 2,300 kwa 6mbps na kuna zingine cheaper