Kenya masikilizano na ustaarabu ni vigumu kupatikana.

Kama ambavyo tume ya Chibukati ilivyoshirikiana na Jubilee kukataa amri halali ya mahakama kutaka "servers" zifunguliwe na kuchunguzwa, huku Uhuru Kenyatta akimtishia na kumtusi hadhari CJ.

Kama amri za mahakama zimepuuzwa na bado unahisi Kenya sio nchi ya kidikteta, vipi nchi ambayo hata hapakua na amri yoyote ya mahakama baada ya wapinzani wenyewe kuamua kuwa walalamikaji na hao hao kuwa mawakili na hao hao kuwa majaji wakatoa hukumu vile walivyowaona inafaa bila kusikilizwa kwa upande wa walalamikiwa?
 
Ni kweli mkuu, halafu wananikasirikia ninapowaeleza ukweli kuwa CCM inakandamiza haki za wapiga kura haswa upande wa upinzani. Wanadhani hatufahamu jinsi Magu ameongeza udikteta ndani ya siasa ya TZ.
 
Nitafanya utafiti wangu ili kubaini ukweli ni kwa nini upinzani wenu ulisusia uchaguzi. Mimi sikuamini hata kidogo. Pengine Serikali ilikataa kuwasajili wagombea viti kutoka upinzani. Kuna Google na pia kuna Youtube. Siki hizi hatudanganyiki virahisi.
 
Mpuuzi sana wewe jamaa, mimi nakuletea taarifa za World Bank kuhusu misaada ambayo wamekuwa wakiwapa tangu 2008. Misaada ambayo imekuwa ikifadhili sekta yenu ya elimu, afya na hata hela za kugawa kwa kina mama ili waweze kulisha familia zao. Misaada yenyewe wanawapa kwasababu umasikini unaendelea kuongezeka kwa kasi. Alafu wewe hata bila kusoma na kujiongeza unaanza kuniimbia chorus zenu za kilumumba. Ulofa wako hauna tiba.
 
 
 
Hzo server unazozitaja NASA walitaka zifunguliwe baada ya kususia uchaguzi, hicho ni kitu ilkua hakiwezekani tayari uchaguzi umeshabatiliwa na hakuna kupoteza mda tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hzo server unazozitaja NASA walitaka zifunguliwe baada ya kususia uchaguzi, hicho ni kitu ilkua hakiwezekani tayari uchaguzi umeshabatiliwa na hakuna kupoteza mda tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mahakama kuu ya Kenya hawana akili wewe "Kibera dweller" ndio unajua zaidi?. Kenya mtaendelea kuchinjana kwasababu ya ujinga wenu wa kujifanya wajuaji. Mara katiba mpya, mara BBI, mara punguza mzigo, hakuna kitakachowasaidia msipopunguza kujifanya wajuaji.
 
Yani ushinde kesi, badae uanze kutoa masharti..kwn hku unafikiria mahakama zinaendeshwa kipuuzi...

We umeambiwa uchaguzi umefutwa na unahitaji kurudiwa tena, watu wakafurahia hadi wakasahau kutoa mapendekezo yao..baada ya siku kadhaa ndio wakazinduka na masharti yao hku mda unasonga...kwn siku zitasimama zitungoje sisi wakenya tuendelea na makesi tu..

Hakuna wakati baba alibugi km ule wakati re election, aliyemshauri kampoteza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili zenu ninyi wakenya ni ndogo sana, hamjui yanayotokea hata ndani ya nchi yenu. Wakati mahakama ilipotia maamuzi ya kurudiwa kwa uchaguzi, iliamuru pia kwamba servers zifunguliwe ili makosa yaliyojitokeza yasijirudie tena katika uchaguzi wa marudio. Haiwezikani kurudi katika uchaguzi kwa kutumia servers zilezile ambazo tayari zimeandaliwa kuongeza idadi ya kura za mpinzani wako, tayari servers zilikua zimeshaongeza kura milioni mbili zaidi kwa Jubilee.
 
Bwahahaaa!!km walikataa kuzifungua ulijuaje km kuna kura million mbili ziliongezeka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..

Unajifanya mjuaji, kumbe hujui kitu walai[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwhyo kw akili yako watu waliporudia uchaguzi IEBC walifuta yale matokeo ya kwanza lwenye servers wakaanza kuhesabu upya...
Umekomea darasa la ngapi joto la jiwe..

Halafu hatujashau lile swali letu, manake unajifanya ku drag mada ndio usilijibu..
Ccm ilishindaje uchaguzi kw asilimia 99% wakati hawakua pekeyao wakiwania?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Then wapinzani mbna walifungiwa ofisi na wengine kuambiwa hawajakidhi vigezo kwenye fomu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa wewe ruka ruka tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia tena joto la jiwe, we na mjuaji asiyejua chochote...

Utatamani sana kuijua kenya jomba, lkn kw sasa unajisumbua tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mlalamikaji ametoa hizo shutuma kwamba ndani ya servers kulikua na kura 2M zaidi, na wewe mlalamikiwa ukakataa kufungua servers ili kuonyesha kwamba hizo shutuma sio kweli, tena ukakataa amri halali ya mahakama iliyokuamuru ufungue servers ili mlalamikaji ajiridhishe, kwa watu wenye kula vizuri na kulala sehemu nzuri wanajua wazi nani ni mkweli, ila kwa watu wenye njaa, ukabila, na wanaoishi ktk Slums, lazima watashindwa kujua nani mwenye matatizo
 
Haya jibu maswali yangu sasa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cjawah kusikia ubishani wa KE vs UG au UG vs TZ...
Kuna kitu baina ya wa TZ na KE.... Utadhani simba na yanga... Haji kushinda mtu kati yenu.. Hahahaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…