Kenya masikilizano na ustaarabu ni vigumu kupatikana.

Kama ambavyo tume ya Chibukati ilivyoshirikiana na Jubilee kukataa amri halali ya mahakama kutaka "servers" zifunguliwe na kuchunguzwa, huku Uhuru Kenyatta akimtishia na kumtusi hadhari CJ.

Kama amri za mahakama zimepuuzwa na bado unahisi Kenya sio nchi ya kidikteta, vipi nchi ambayo hata hapakua na amri yoyote ya mahakama baada ya wapinzani wenyewe kuamua kuwa walalamikaji na hao hao kuwa mawakili na hao hao kuwa majaji wakatoa hukumu vile walivyowaona inafaa bila kusikilizwa kwa upande wa walalamikiwa?
 
Hawa wanakwaya wasijaribu kukuhadaa kwamba ule ushindi wa CCM kwa asilimia 99% ulikuwa wa haki. Tume ya uchaguzi ilishirikiana na CCM kuhujumu upinzani kwa kukataa fomu zao za usajili kwa visingizio vya kipuuzi kama errors kwenye details za waliokuwa wanataka kugombea kwenye nyathfa mbali mbali. Wengi wa wapinzani walipata ofisi zimefungwa na officials wa tume ya uchaguzi wamezamia kusikojulikana. [emoji1]
Ni kweli mkuu, halafu wananikasirikia ninapowaeleza ukweli kuwa CCM inakandamiza haki za wapiga kura haswa upande wa upinzani. Wanadhani hatufahamu jinsi Magu ameongeza udikteta ndani ya siasa ya TZ.
 
Kama ambavyo tume ya Chibukati ilivyoshirikiana na Jubilee kukataa amri halali ya mahakama kutaka "servers" zifunguliwe na kuchunguzwa, huku Uhuru Kenyatta akimtishia na kumtusi hadhari CJ.

Kama amri za mahakama zimepuuzwa na bado unahisi Kenya sio nchi ya kidikteta, vipi nchi ambayo hata hapakua na amri yoyote ya mahakama baada ya wapinzani wenyewe kuamua kuwa walalamikaji na hao hao kuwa mawakili na hao hao kuwa majaji wakatoa hukumu vile walivyowaona inafaa bila kusikilizwa kwa upande wa walalamikiwa?
Nitafanya utafiti wangu ili kubaini ukweli ni kwa nini upinzani wenu ulisusia uchaguzi. Mimi sikuamini hata kidogo. Pengine Serikali ilikataa kuwasajili wagombea viti kutoka upinzani. Kuna Google na pia kuna Youtube. Siki hizi hatudanganyiki virahisi.
 
Yes, bado hatujajitosheleza kila kitu, lakini mahitaji ya muhimu kwa binadamu kama chakula, makazi, Security na Afya, tunajitosheleza hatuombi misaada ya chakula.
Acheni kusingizia ukame,mbona chai na maua mnazalisha kwa wingi, au hivyo havihathiriwi na ukame?.
Mpuuzi sana wewe jamaa, mimi nakuletea taarifa za World Bank kuhusu misaada ambayo wamekuwa wakiwapa tangu 2008. Misaada ambayo imekuwa ikifadhili sekta yenu ya elimu, afya na hata hela za kugawa kwa kina mama ili waweze kulisha familia zao. Misaada yenyewe wanawapa kwasababu umasikini unaendelea kuongezeka kwa kasi. Alafu wewe hata bila kusoma na kujiongeza unaanza kuniimbia chorus zenu za kilumumba. Ulofa wako hauna tiba.
 
WB ipo na hizo programmes za kusaidia familia masikini duniani kote katika nchi masikini, kumbuka kwamba 26% ya watanzania wanaishi chini ya $1 na Kenya zaidi ya42% wanaishi chini ya $1 hivyo wanakidhi vigezo vya kupewa hiyo misaada, Kenya mara nyingi imekosa hii misaada kutokana na rushwa lakini pia inapaswa kutokana naumasikini uliokithiri.
Kuhusu misaada katika sector ya elimu, Afya, maji na huduma zingine za kijamii, nchi zote za dunia ya tatu ikiwemo China zimekua zikipokea hiyo misaada kutoka WB, ila kwa watu wapumbavu kama wewe mnadhani ni Tanzania pekee
 
Nitafanya utafiti wangu ili kubaini ukweli ni kwa nini upinzani wenu ulisusia uchaguzi. Mimi sikuamini hata kidogo. Pengine Serikali ilikataa kuwasajili wagombea viti kutoka upinzani. Kuna Google na pia kuna Youtube. Siki hizi hatudanganyiki virahisi.
[/QUO
Ina maana ulikua unazungumza jambo ambalo hukulifanyia utafiti na bado unasema wewe ni msomi?.

Utakayokutana nayo ni hayo malalamika ya upinzani bila kwenda mahakamani ili kujua kama ni kweli walidhulumiwa au hapana. Wakenya wengi kwasababu ni wajinga na wanahasira na Magufuli, lazima watasikiliza upande wa upinzani.

Ni ukweli usiopingika kwamba Magufuli anafanya vibaya ktk eneo la Demokrasia, lakini ktk uchaguzi uliopita, wapinzani ndio wenye matatizo kwa kukataa kwenda mahakamani
 
Hahaha,Tony254 Kama wewe ambaye ni miongoni mwa wakenya wachache sana angalau wenye nafuu Katika kufuatilia mambo lakini umeamza kupoteza huo uwezo, ni kitu cha kusikitisha Sana.

NASA walisusia uchaguzi wa marudio kwa madai kwamba hawana imani na tume ya Uchaguzi na kutaka Chibukati na wenzake wajiuzulu. Mahakama iliamuru tume ya uchaguzi ifungue "servers" zake zikaguliwe jambo ambalo halikufanyika, matokeo yake upinzani ukagoma kwenda ktk uchaguzi, Jubilee kwa kuungwa mkono na vyama rafiki ikashindwa kwa zaidi ya 90%, huo sio udictator?. Tangu Kenya ipate uhuru wake 1963, imekua ikiongozwa na udikteta na watu wengi wameuliwa hadi leo
Hzo server unazozitaja NASA walitaka zifunguliwe baada ya kususia uchaguzi, hicho ni kitu ilkua hakiwezekani tayari uchaguzi umeshabatiliwa na hakuna kupoteza mda tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo mahakama kuu ya Kenya hawana akili wewe "Kibera dweller" ndio unajua zaidi?. Kenya mtaendelea kuchinjana kwasababu ya ujinga wenu wa kujifanya wajuaji. Mara katiba mpya, mara BBI, mara punguza mzigo, hakuna kitakachowasaidia msipopunguza kujifanya wajuaji.
 
Yani ushinde kesi, badae uanze kutoa masharti..kwn hku unafikiria mahakama zinaendeshwa kipuuzi...

We umeambiwa uchaguzi umefutwa na unahitaji kurudiwa tena, watu wakafurahia hadi wakasahau kutoa mapendekezo yao..baada ya siku kadhaa ndio wakazinduka na masharti yao hku mda unasonga...kwn siku zitasimama zitungoje sisi wakenya tuendelea na makesi tu..

Hakuna wakati baba alibugi km ule wakati re election, aliyemshauri kampoteza

Akili zenu ninyi wakenya ni ndogo sana, hamjui yanayotokea hata ndani ya nchi yenu. Wakati mahakama ilipotia maamuzi ya kurudiwa kwa uchaguzi, iliamuru pia kwamba servers zifunguliwe ili makosa yaliyojitokeza yasijirudie tena katika uchaguzi wa marudio. Haiwezikani kurudi katika uchaguzi kwa kutumia servers zilezile ambazo tayari zimeandaliwa kuongeza idadi ya kura za mpinzani wako, tayari servers zilikua zimeshaongeza kura milioni mbili zaidi kwa Jubilee.
 
Bwahahaaa!!km walikataa kuzifungua ulijuaje km kuna kura million mbili ziliongezeka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..

Unajifanya mjuaji, kumbe hujui kitu walai[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwhyo kw akili yako watu waliporudia uchaguzi IEBC walifuta yale matokeo ya kwanza lwenye servers wakaanza kuhesabu upya...
Umekomea darasa la ngapi joto la jiwe..

Halafu hatujashau lile swali letu, manake unajifanya ku drag mada ndio usilijibu..
Ccm ilishindaje uchaguzi kw asilimia 99% wakati hawakua pekeyao wakiwania?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Then wapinzani mbna walifungiwa ofisi na wengine kuambiwa hawajakidhi vigezo kwenye fomu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa wewe ruka ruka tena

Narudia tena joto la jiwe, we na mjuaji asiyejua chochote...

Utatamani sana kuijua kenya jomba, lkn kw sasa unajisumbua tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwahahaaa!!km walikataa kuzifungua ulijuaje km kuna kura million mbili ziliongezeka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..

Unajifanya mjuaji, kumbe hujui kitu walai[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwhyo kw akili yako watu waliporudia uchaguzi IEBC walifuta yale matokeo ya kwanza lwenye servers wakaanza kuhesabu upya...
Umekomea darasa la ngapi joto la jiwe..

Halafu hatujashau lile swali letu, manake unajifanya ku drag mada ndio usilijibu..
Ccm ilishindaje uchaguzi kw asilimia 99% wakati hawakua pekeyao wakiwania?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Then wapinzani mbna walifungiwa ofisi na wengine kuambiwa hawajakidhi vigezo kwenye fomu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa wewe ruka ruka tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mlalamikaji ametoa hizo shutuma kwamba ndani ya servers kulikua na kura 2M zaidi, na wewe mlalamikiwa ukakataa kufungua servers ili kuonyesha kwamba hizo shutuma sio kweli, tena ukakataa amri halali ya mahakama iliyokuamuru ufungue servers ili mlalamikaji ajiridhishe, kwa watu wenye kula vizuri na kulala sehemu nzuri wanajua wazi nani ni mkweli, ila kwa watu wenye njaa, ukabila, na wanaoishi ktk Slums, lazima watashindwa kujua nani mwenye matatizo
 
Haya jibu maswali yangu sasa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cjawah kusikia ubishani wa KE vs UG au UG vs TZ...
Kuna kitu baina ya wa TZ na KE.... Utadhani simba na yanga... Haji kushinda mtu kati yenu.. Hahahaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom