joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #41
Kama ambavyo tume ya Chibukati ilivyoshirikiana na Jubilee kukataa amri halali ya mahakama kutaka "servers" zifunguliwe na kuchunguzwa, huku Uhuru Kenyatta akimtishia na kumtusi hadhari CJ.
Kama amri za mahakama zimepuuzwa na bado unahisi Kenya sio nchi ya kidikteta, vipi nchi ambayo hata hapakua na amri yoyote ya mahakama baada ya wapinzani wenyewe kuamua kuwa walalamikaji na hao hao kuwa mawakili na hao hao kuwa majaji wakatoa hukumu vile walivyowaona inafaa bila kusikilizwa kwa upande wa walalamikiwa?