Kenya: Mchungaji akamatwa baada ya Waumini Wanne kufa njaa katika Mfungo

Kenya: Mchungaji akamatwa baada ya Waumini Wanne kufa njaa katika Mfungo

Screenshot 2023-04-14 154323.png

Jeshi la Polisi katika Kaunti ya Malindi nchini Kenya linamtafuta Mchungaji Paul Mackenzie wa Kanisa la Good News International baada ya kudaiwa kuwashawishi waumini wake wafunge kisha wafe ili waweze kuingia mbinguni na kuurithi ufalme wa Mungu.

Polisi wamefanya msako baada ya kupokea taarifa kutoka kwa wasamaria wema kuhusu kuwepo kwa kanisa hilo lenye kueneza imani potofu kwa kuelekeza watu kufunga kisha wafe ili waweze kufika mbinguni.

Nipashe
 
Kondoo nazo zikafunga kweli ili zife ziuone ufalme wa mbingu?
 
Sasa kufunga mpaka kufa, faida yake ni nini?
Waliambiwa Dunia inafika mwisho na Yesu atakuja mkutane nae
Kwa hiyo wakaambiwa wafunge mpaka Yesu ataporudi
Sasa sijui walifikiri anarudi kesho kutwa hapo ndio sijui
 
MK254 yupo hai kweli? Maana jamaa akili zake anazinua mwenyewe, nyang'au hajawahi kuwa na akili
 
Sikuwepo huko ila najua tu waumini waliofunga wote ni wanawake.
 
MK254 ni mzima kweli au naye ni miongoni mwa hao ?

Wewe hapo si umefunga kisa mwarabu alikuagiza ufunge mwezi mzima, japo nyie huwa sio kufunga maana usiku mnafakamia misosi balaa halafu huu mwezi ndio huwa mnatukana balaa...mlivyo wanafiki.
 
Back
Top Bottom