Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
ok kusema kuwa tuna some problems hio sikatai ila kusema kuwa kenya ina barabara za 1948 ambazo zilijengwa kwa masterplan ya wazungu hio utakuwa unadanganya...kuna barabara tele sana zilizojengwa kwa kutumia masterplan ya kisasa...ingawa kuna shida ndogo ndogo hapa na pale, hatuko 1948 bana we wachaSama heading soma nilicho andika, middle income with 1948 road, kwani ni uwingo? didnt article hauku point out kama barabara nyingi zinatumia masterplan ya mkoloni?
πππ so unataka kusema kuwa nyinyi mna devolution au??? so what do we have to learn from you?...
Na bado tuna barabara nzuri kuwashinda.Una ona eh? hata kusoma hamsomi mnakimbili kurusha vijembe. Devolution imeleta shida ya who is resposible to maintenance. County nyingi hazina uwezo wa kupata pesa ya kukarabati barabara, state nayo inakataa kuchukuwa majukumu ya kutengeneza hizo barabra ndani ya county matokeo yake barabara zinazidi kuharibika and no one cares. Hata pesa ya road tax ikiusanyawa county nyingine sio mgari mengi yana pita mgao wao utakuwa mdogo. Tanzania model state bado ni responsible wa barabara zote, na local Gov inategemea pesa kutoka serikali kuu na most fund are mobilise internally au state inatafuta nje lakini hii inapunguza mzigo kwa county kutafuta hela yenyewe tena kama ni county ambayo sio tajiri.
According to him hata hizi ni mzungu kadesign.πππ
1948 Roads.
View attachment 782620
Lakini unadhani Mkoloni aliacha Thika Road, Southern Bypass, Eastern Bypass, Northern Bypass, Western Bypass, Mombasa Road, Waiyaki Way, Ngong Road na kadhalika huh? I always tell you Mwanzi you're a little bit better of than your idiot brothers but your head is full of hypocrisy and your heart is full of hatred.Sidhani kama mkoloni aliacha BRT au fly in Dar, Juzi mkuu wa mkoa ameonyesha new Dar itakavyokuwa.
Na bado tuna barabara nzuri kuwashinda.
Kenya has more paved roads than Tanzania. Check out the statistics.Sitaki kuamini, kama ukiweka barabara za nchi zima Tanzania inaweza kuzidi Kenya. Tanzania ya leo unaweza kutembelea miji yote na kufika barabara za lami 100%. Mind ni Kenya strip inayo anzia Mombasa mpaka Kisumu, ukienda North ni shida tupu.
Mnakataa na kusema eti Kenya ilijengwa na wakenya, Master plan ni ya mkoloni hakuna mmoja wenu hapa anaweza kukataa. especially Nairobi CBD
Master Plan ya Dar ni ya nani?..............Oh, Dar does not even have a Masterplan.
Lakini unadhani Mkoloni aliacha Thika Road, Southern Bypass, Eastern Bypass, Northern Bypass, Western Bypass, Mombasa Road, Waiyaki Way, Ngong Road na kadhalika huh? I always tell you Mwanzi you're a little bit better of than your idiot brothers but your head is full of hypocrisy and your heart is full of hatred.
Hebu fuatilia huu mtiririko, Uwone nimeseama nini na wewe umesema nini. Nimesama especially Nairobi CBD. umekuja na long list of outer nairobi road. 80% Nairobi CDB bado ni ile ile ya mkoloni, Nairobi industrial area inayosemwa kwenye hiyo article iko ndani ya Nairobi karibu na South B.
Naona mmefunguka kwenye hii issue ya barabara. Someni article vizuri ili muelewe anachosema author na si kuanza kutumatuma picha. Tumeni pia barabara za kuunganisha mikoa na miji mingine. We understand the other side of Kenya. The rural areas ni choka mbaya.
Btw one the other side of the mido inkamu Kenya.
View attachment 782650
Ulikua unaongelea Masterplan, wewe mwenyewe ukatoka nje ya mada ukaleta mambo ya BRT ambayo sio masterplan bali actual infrastructure ndio nikakuletea actual infrastructure from Nairobi pia sasa mbona walia? Like I told you, you are one very hypocritical person.
Akikuonyesha kama hizi uko dar nahama jamii forum mileleππππsasa wacha tukuonyeshe barabara zilizojengwa na mwafrika....nadhani point yako ni kuwa Kenya ilijengwa na mzungu na baada ya kuondoka kwake barabara hazijakuwa zikijengwa wala kufanyiwa maintenance... right?
sasa wacha tukuonyeshe barabara zilizojengwa na mwafrika....nadhani point yako ni kuwa Kenya ilijengwa na mzungu na baada ya kuondoka kwake barabara hazijakuwa zikijengwa wala kufanyiwa maintenance... right?
Wewe, usilete hizi kamali zako ambazo huzuwezi. Ulishindwa ya kwanza tukakufukuza, umegoma bado upo hapa. Wewe ni mtu wa mafix, you cant be trusted.[emoji23]
Haha, mada ni pana kuliko uwezo wao. Hoja inahusu utendaji kazi uliokuwa una gongana kati ta serikali kuu na serikali za gatuzi. Mgongano huo umesababisha kushindwa hata kutengeneza barabara zilizo sanifiwa na mkoloni 1948. Nimeweka video ya JPM hapo kuonyedha Tanzanian model, hawa wapuuzi wa hapa wameshikilia vipicha vya kuunga-unga. Hakuna hata mmoja wao aeweza kuelezea Kenyan model, fedha zinatoka wapi, nani msimamizi au hata rushawa zilizo kithiri kwenye ujenzi wa barabara. None of themDuuu kaka umekomaa nao MPAKA kijasho kinawatoka.
Kudos. Hawana jipya hao. Wanatuletea picha za two years back.