Kenya Middle Income yajivunia kuto kunya hadharani: Hongereni Majirani

Kenya Middle Income yajivunia kuto kunya hadharani: Hongereni Majirani

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Posts
17,214
Reaction score
15,853
IMG-20180520-WA0012.jpg


Katika hali ya kupiga butwaa, wengi mido inkamu Kenya yajivunia hatua ya watu wa vijiji vyao kujisaidia vyooni.
Tuwapongeze majirani jamani.
 
Eehh Mola wangu mbona makubwa haya!
 
This is embarrassing, yaani wameshindwa kutumia lugha bila na ukakasi?

Uhuru anatakiwa kukamata maramoja hao maafisa walioidhinisha kutengenezwa kwa hilo bango..
 
Wakati wewe unawashangaa wakenya, mie nashangaa zaidi hao world vision na red cross najua ndio wamegharamia hadi hilo bango.
 
Duuu mido inkamu. Itakuwa kibera hiyo.
 
You guys are dumb aje.... Can't you see the extras in black is PHOTOSHOP......shenzi type

Unanionea tu bure... kwani Mimi ndo nimeweka hilo bango lenu la kujivunia kunya chooni badala ya vichakani.
Ahaaa haaa haaa
 
Kaka REDEEMER. si uje kuangalia ma achievements. Sikuhizi tunajisaidia haja kubwa faraghani.
 
hii ni aibu..hawa wanatakiwa washikwe wafungwe kwa kutuaibisha kiasi hiki? lugha chafu sana ambayo haifai kamwe kuandikwa kwenye mabodi kama haya..there is a better way to do this...
 
Sasa nimeamini lugha ya kiswahili kwa wakenya bado sana,hayo maneno ni makali na yanatia hata kinyaa aisee.😡
 
hii ni aibu..hawa wanatakiwa washikwe wafungwe kwa kutuaibisha kiasi hiki
i disagree brother although it might appear embarassing this is one of the thing we MUST tackle. on our way to a fully developed country. wajua ata india hivi vitu vipo na ijalishi uchumi wenu ni mkubwa aje msipo tatua mtabaki tu developing.
 
Back
Top Bottom