Kenya: Mwanamke akamatwa kwa kuishi na wanaume wake wawili ndani ya nyumba moja

Duu vijana wa kenya kwa kupenda ulerezi mmetoka kwenye ushoga sasa mnaenda kuolewa wawili kwa mwanamke mmoja tatizo nini au kwakua job hakuna
Shida iko wapi? Huwalishi, huwanyweshi, huwavishi wala kuwapea pa kulala sasa nashangaa umbea huu ni wa nini?
 
Anakamatwa kwani ni kosa kisheria?
Kama kuna sheria kama hiyo basi imepitwa na wakati na ni ya kubatilishwa!
 
Nyumba moja au ni zaidi ya ilivyoripotiwa?!

Hii habari unaweza kuandika vichwa vya habari vingi kadri utakavyoweza kuitafsiri.


Interesting
 
Kwani wamekamatwa na polisi wa Tanzania ?
 
Raha zake ....karaha zao hao vipi kwani
 
Basi mie nimeona kama vile hilo limetokea Kenya, au macho yangu hayaoni vizuri kwenye thread hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…