Kenya: Mwanamke awaonyesha wanaume wake wawili hadharani, she refers to them as hubby 1 & hubby 2

Jamani huyu tumfanyie maombi nduguzanguni huyu si yeye ni pepo..😅

Basi tumalize mzizi wa fitna nipo hapa ntakuwa bwana wako pia,unasemaje mrembo..?😉
😂😂😂😂😂
 
😂😂😂😂😂
Usicheke tu sema mama tuyajenge maisha ndo hayahaya sasa tusipo nanilii tutananilii vipi nawakati hatuwezi kuishi bila kunanilii ili tuinanilii dunia..😅

Sema nami mpenzi..😉
 
Fikra za waungwana, ndani ya CHUNGU TAMU.

"Mume wangu nakupenda, ila Joseph amenikuna,
Usinifanyie inda, mimi ni wako kimwana"
 
Do they sleep in the same room? When it comes to making love is 3 some order of the day?

 
Baba wamajeshi shuka uone zuruma hii.. ee mwenye enzi ona watu wako wanavyokengeuka ee ulijuu ona viumbe Hawa wanavyotubadilikia shusha Moto ulao baba,shusha jehanam kwa wenye mawazo namna hii..[emoji125][emoji125][emoji23]
Basi kijana, maombi yako yamesikika.
 

One thing I know for sure, she will be a bread winner for all....
 
Mweeee, nimetamaniii, nikavuta picha namna ya kumweleza huyu mkurya kuwa nataka apate mwenzake.Hakuna 3 some ni zamu tu Kama wafanyavyo me.Ila kabla sijamwambia nahakikisha nimechoma sindano za ganzi sita, funguo zote nimeficha na nimempa Dada wa kazi namba za Askari hata 5 na ambulance mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…