Kenya: Mwanamke awaonyesha wanaume wake wawili hadharani, she refers to them as hubby 1 & hubby 2

Kenya: Mwanamke awaonyesha wanaume wake wawili hadharani, she refers to them as hubby 1 & hubby 2

Two men in one woman!!
We ulisikia wapi!
Melwisho wa siku watainamishana.
 
4 some inakuhusu ukitoka hapo uko safiiii unachapa usingizi 18 hours. 😜

Kwani unadhani na sisi ni wote tunaridhika na mwanaume mmoja? Mpaka wawe wawili hata watatu wakati mwingine. Sema basi tu.
 
Nzuri sana hiyo mbona kubadilisha ladha nako ni muhimu sana
 
Do they sleep in the same room? When it comes to making love is 3 some order of the day?
I'm not sure,there's no more information on how they make love.......
 
Two men in one woman!!
We ulisikia wapi!
Melwisho wa siku watainamishana.

Hivi vitu kwetu ni vigeni lakini kuna jamii hivi vitu ni mambo ya kawaida ndio maana kuna neno polyandry. Tembea uone dunia ina mambo hii
 
Back
Top Bottom