Kenya: Mwanamke awaonyesha wanaume wake wawili hadharani, she refers to them as hubby 1 & hubby 2

Kenya: Mwanamke awaonyesha wanaume wake wawili hadharani, she refers to them as hubby 1 & hubby 2

Hiyo ya open relationship jina lingine inaitwa couple swapping....Mtu na mkewe wanakubaliana wanakwenda swapping club..,huko wanakutana na Wana ndoa wenzao wengi tu....ambao nao wamekuja k wa lengo la kufanya swapping...basi hapo yanafanyika makubaliano ya kubadilishana mume kwa mke., ..mume anamrusu mke akafanye mapenzi na mwanamme mwingine....na Yeye anafanya na mke wa nwenzie,.....asubuhi kila mtu anarudi kwa mwanandoa wake.....lengo ni kupunguza cheating.
Hii nzuri mbona kuliko watu kufanya unafiki Tena itakuwa vyema ikifanyika Mara nyingi nyingi.
 
Poly relationship naona inazidi kutrend kipindi hiki, zamani ilionekana wanaume wa kiafrica wanadhalilisha wanawake na imani ya dini ya kiislam haikuheshimu wanawake lakini sasa imekua kinyume,

Wazungu wanaipenda, asilimia zinapanda tu, kuna mtandao wa Okcupid wame add kipengele cha kutafutia Poly partners imerahisishia watu.
 
A black woman happily shows off her two husbands and reveals they are happy together

A woman who is happily married to two men and live in the same house with them has shared photos of them together while speaking about their relationship.

Kenya Stevens is in a polyamorous relationship and is open to falling in love with others though she has two husbands. One of her husbands is Rakhem Seku, a relationship coach and an author of multiple books.

She refers to them as "Hubby 1" and "Hubby 2" and sometimes jokes about taking "Hubby 3".

Woman happily shows off her two husbands and reveals they are happy together

She said she has been with her two "life partners" for years and they have grown kids.

Most of all three's Instagram posts shared via their respective accounts are photos of each other.

Woman happily shows off her two husbands and reveals they are happy together

Kenya says her men get along well, fix their cars together, and do other manly things together.

She also debunked the claim that men are more sexual than women. She called it a "myth" and said women were only conditioned from childhood to subdue their sexuality.

Source:African updates
View attachment 1538103
Kenya wanapenda sana his mambo..je na kitanda wanalala kimoja?
 
Back
Top Bottom