Kenya: Mwanamke awaonyesha wanaume wake wawili hadharani, she refers to them as hubby 1 & hubby 2

Hii nzuri mbona kuliko watu kufanya unafiki Tena itakuwa vyema ikifanyika Mara nyingi nyingi.
 
Poly relationship naona inazidi kutrend kipindi hiki, zamani ilionekana wanaume wa kiafrica wanadhalilisha wanawake na imani ya dini ya kiislam haikuheshimu wanawake lakini sasa imekua kinyume,

Wazungu wanaipenda, asilimia zinapanda tu, kuna mtandao wa Okcupid wame add kipengele cha kutafutia Poly partners imerahisishia watu.
 
Kenya wanapenda sana his mambo..je na kitanda wanalala kimoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…