Kenya na Ethiopia ndio nchi zilizotumia pesa nyingi kujihami mwaka 2019

unakumbuka vita vyenu na Iddi Amin? TPDF ground forces walipiga na kuangusha ndege za TPDF air force ..
Jaribu kuangalia hizo errors na nyakati zilivyotokea....kulikuwa na shida ya mawasiliano wale wanajeshi walioangusha ndege za tpdf hawakutaarifiwa kwa wakati ...wao walikuwa wamejiandaa ndege yoyote itakayoruka ni ya jeshi LA amin ndo maana ikatokea error hyo na ilikuwa 1980's sio kama sasa teknolojia ya mawasiliano imerahisishwa kirahisi
 
Mkuu A-100 ni accurate sana.
Ila wachina walitest kati ya PHLna A100
Wakaselect PHL wao ndo wakaiona ni Bora zaidi , ila sio kwamba haifanyi kazi inafanya kazi.
 
Sasa mkuu helicopter kama HIZO utampiga nazo nani. Kwenye uwanji wa vita vinapigwa tuu kirahisi na manpad
 
Hizo
Hizo helicopter zinaangaushwa na manpad
 
Sasa hivi wako Congo wanatalii tu..hakuna wafanyacho
 
Somalia ambayo ni nyoko hata kwa Marekani.
Nani kakwambia Somalia ni nyoko Kwa USA???
USA alikua na mission ya kumuua Farah Aidid akamuua japo alichokosea mpk akapoteza wanajeshi wengi ni kuja na jeshi dogo Somalia.
Ila walikamilisha mission.
Ila ninyi daily ALSHABAB daily wanawapakata kwenu.
 
self propelled artillery 2S7 Pion
Sina UHAKIKA kama kenya mnazo hizi.
Hizo zinatengenezwa urusi na sasa hivi SIZANI kama zinatengenezwa.
Na kipindi kile walikuwa WANAgawa kwa wasirika wao wa communist kwa Africa WALIPEWA Angola tuu.
Kama mnazo basi mmenunua Mutumba sijui kutoka wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…